Kilimo Kwanza Kagera

Kilimo Kwanza Kagera WAUZAJI WA:
Pembejeo za Kilimo|Dawa za Mifugo| Kutoa Ushauri Kwa Wakulima bure.

Unataka mavuno ya kutosha msimu huu? Au unahitaji kuboresha afya ya mifugo yako? Siri yote ipo kwenye pembejeo bora na d...
01/09/2026

Unataka mavuno ya kutosha msimu huu? Au unahitaji kuboresha afya ya mifugo yako?

Siri yote ipo kwenye pembejeo bora na dawa za mifugo za uhakika. Mbegu bora,mbolea , dawa ,virutubisho vya mifugo na ushauri wa kilimo na ufugaji vinapatikana katika maduka yetu yote mkoani kagera. Karibu tukuhudumie🤗

Mavuno bora hayaanzi kwa bahati mbaya…Yanaanza na Kilimo Kwanza.🎯🌱 Siku hii ya Nane Nane, fanya uamuzi wa kukuza kilimo ...
08/08/2026

Mavuno bora hayaanzi kwa bahati mbaya…Yanaanza na Kilimo Kwanza.🎯🌱

Siku hii ya Nane Nane, fanya uamuzi wa kukuza kilimo chako kwa tija na huduma za uhakika zilizopo jirani nawe kabisa.

✅ Mbegu na pembejeo bora
✅ Ushauri wa kitaalamu
✅ Matawi yaliyotapakaa Kagera nzima

Karibu Agosti! 🌽🚜​Unajiandaa na msimu mpya wa kilimo? Kilimo Kwanza tuko hapa kuhakikisha unavuna ulichopanda kwa kukule...
02/08/2026

Karibu Agosti! 🌽🚜

​Unajiandaa na msimu mpya wa kilimo? Kilimo Kwanza tuko hapa kuhakikisha unavuna ulichopanda kwa kukuletea mbegu bora zaidi.

​Maduka yetu yanapatikana:

📍 Bukoba Mjini: Mtaa wa ZamZam Mkabala na hospitali ya ZamZam

📍 Kemondo: Stendi ya mabasi yaendayo Muleba

📍 Maruku: Makongo Centre (barabara ya kwenda Bukoba Mjini)

📍 Bunazi: Mtaa wa Enjoy, karibu na kanisa la Mchungaji Gerard

📍 Muleba: Mkabala na Scholastica Memorial Complex

📍 Kamachumu: Tutafungua hivi karibuni!

​📞 Wasiliana nasi: +255 754 512 887

📲 Facebook: Kilimo Kwanza Kagera

​ MbeguBora

27/07/2026

🌱 TUMEHAMIA! 🌱

Habari njema kwa wakulima na wafugaji wetu wote!
Kilimo Kwanza sasa tumefungua duka letu jipya, kubwa na la kisasa mkabala na Hospitali ya Zamzam, Mtaa wa Zamzam.

Karibu upate huduma zetu bora za pembejeo za kilimo na mifugo, ushauri wa kitaalamu, na huduma za kuaminika ambazo zimekuwa zikituunganisha na wakulima kwa miaka mingi.

Tunafurahi kuwa sasa tupo karibu zaidi na wewe ili kuendelea kumsaidia mkulima kupata matokeo bora.

📍 Eneo Jipya: Mkabala na Hospitali ya Zamzam, Mtaa wa Zamzam
📞 Simu: +255 754 512 887
📱 Instagram: Kilimo Kwanza
📘 Facebook: Kilimo Kwanza Kagera

Karibu sana katika duka letu jipya – tunakusubiri kwa huduma bora, bidhaa bora na ubora ule ule unaouamini.

25/07/2026

🌱 HABARI NJEMA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI WA BUKOBA! 🚜

​Tumefungua duka jipya na la kisasa kabisa kukusogezea huduma bora na za uhakika karibu yako!
​Pata pembejeo bora za kilimo, chakula na dawa za mifugo, pamoja na ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wetu waliobobea.

​📍 MAENEO TULIPO:
🏬 Bukoba Mjini: Mtaa wa Zam Zam, karibu na Hospitali.

​📞 WASILIANA NASI:
📲 Piga / WhatsApp: 0754 512 887
💬 Au tutumie ujumbe wa moja kwa moja (DM) hapa hapa Instagram!

​👉 Kilimo Kwanza – Tunamsaidia mkulima kupata matokeo bora!

​ Mifugo WakulimaTanzania KilimoBiashara Kagera TanzaniaAgriculture

Heri ya Siku ya Nane Nane 🌽 kwetu sisi, Kilimo sio kazi tu ni maisha na mustakabali wa taifa letu. Leo tunawapongeza wak...
07/07/2026

Heri ya Siku ya Nane Nane 🌽 kwetu sisi, Kilimo sio kazi tu ni maisha na mustakabali wa taifa letu. Leo tunawapongeza wakulima na wadau wote wa agribusiness kwa kazi kubwa mnayofanya kulisha jamii na kukuza uchumi.
Let’s keep growing together!🌍💚

Mwezi mpya . Malengo mapya . Fursa mpya.✨Kilimo kwanza tunakutakia mwezi mpya wenye mafanikio!🌸
01/07/2026

Mwezi mpya . Malengo mapya . Fursa mpya.✨
Kilimo kwanza tunakutakia mwezi mpya wenye mafanikio!🌸

21/06/2026

🌱Lima kwa asili, vuna kwa mafanikio! Mbolea yetu organic inarudisha nguvu kwenye udongo wako bila kemikali. Chagua afya, chagua asili🌿

🌾LINDA MAZAO YAKO 🌾  Bidhaa hizi zinafanya  kazi nzuri sana kwa wakulima wengi na matokeo yake ni ya uhakika 💯 ✅BAMIC 2....
10/05/2026

🌾LINDA MAZAO YAKO 🌾
Bidhaa hizi zinafanya kazi nzuri sana kwa wakulima wengi na matokeo yake ni ya uhakika 💯

✅BAMIC 2.0Ec
✅DUDU-ACELAMETCIN
✅INNOVEX 360SC
✅DUDUBA 450EC

🪴Hulinda mazao dhidi ya wadudu,magonjwa na uharibifu wa mimea .
📍Zinapatikana madukani kwetu

📲Karibu upate ushauri wa kitaalamu na bidhaa sahihi kwa shamba lako.

🌍 Heri ya Siku ya Wafanyakazi!Tunawashukuru wafanyakazi wote kwa juhudi, nguvu, na moyo wenu wa kujituma kila siku.Kazi ...
01/05/2026

🌍 Heri ya Siku ya Wafanyakazi!
Tunawashukuru wafanyakazi wote kwa juhudi, nguvu, na moyo wenu wa kujituma kila siku.
Kazi yenu ndiyo msingi wa mafanikio yetu. 💚

Adresse

Bukoba Mjini I Kemondo I Maruku
Kagera

Téléphone

+255754512887

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Kilimo Kwanza Kagera publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Kilimo Kwanza Kagera:

Raccourcis

Partager