Sinto sahau Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Sinto sahau, Shopping et vente au détail, 0787186589, Tabora.

  KIDOGO #Ep6Kuna vijana 2 marafiki walienda kwa mganga kutafuta Mali walipofika mganga akawambia aingie mmojommoja aka ...
03/01/2020

KIDOGO #
Ep6
Kuna vijana 2 marafiki walienda kwa mganga kutafuta Mali walipofika mganga akawambia aingie mmojommoja aka anza mmoja alipoingia akaulizwa "shida nini kijana"kijana akajibu "ninaitaji Mali"mganga akamwambia usijali inatakiwa umtoerafiki yako mliekuja nae
Yulekijana alikataa mganga akamwambia basis toka njee
Yulekijana akatoka njee halafu yule mwingine akaingia
Alipoingia nayeye aliambiwa hivyohivyo
Yulekijana akakubali mtoe kafala nilie kujanae
Hahahaha
Uscheke sana kwenyehii duna usimuamini MTU yeyote yule hats awe rafiki yako
Je zipo kafala za rafiki ?
Atakaejibuswali hili atapata shilling 1300/= kwajibu sahihi wekapesa 500 kwenyenamba hii 0787186589 kisha ujibu
Usisahau kulike na kukoment
K**a unahitaji huduma hii andika Abubakar au sinto sahau kisha usachi utapata episode zote ilitwende sambamba

  KIDOGO #EP4Kunamzee mmoja alizaa watoto 3 waliishi miaka mingi sana Sikumoja mtoto wakike wajirani aliugua sana hivyo ...
02/01/2020

KIDOGO #
EP4
Kunamzee mmoja alizaa watoto 3 waliishi miaka mingi sana
Sikumoja mtoto wakike wajirani aliugua sana hivyo watoto hao. Waliamua kwenda msituni kutafuta dawa
Walipofika msituni kijana wa 1 aliokota dawa
Mtoto 2 aliokota kioo
Mtoto 3 akaokota nyoya
Basiyule alie okota kioo akaona binti kazidiwa alieokota nyoya akawabeba mpaka nyumbani na yule alieokota dawa akampa dawa na akapona
He nani anatakiwa amuoe kati ya hao vijana
Atakae jibu vizuri ata pata shilling 2000 kwa jibu sahihi usisahau kulike.
Weka shilingi 500 kwenye namba 0787186589 kisha ushinde.

02/01/2020

KIDOGO #
Ep3
Kunakijana alikuwa kawamba sana akasema nikipata elfu 2000 nitatoa elfu
1000 kamasadaka halafu elfu 1000 nitatumia
Jioni yake akaokota elfu 1000
Akasema "Daah mungu anaakilisana kasha kata 1000 yake basi sawa"
Hahahaha
Usisahau kulike na kujibu maswali kwa shilling 500 ukijibu sahihi utashinda pesa kutokana na swali
Andika.Abubakar idd
Utapata vichekesho hivyo naujibu sahihi 0787186589

Sintosahau Sehemu ya 01 Kwajina naitwa hasani huseni nimezaliwakatika kijiji cha kondemoyo maishayangudunisana wazaziwan...
19/12/2019

Sintosahau Sehemu ya 01
Kwajina naitwa hasani huseni nimezaliwakatika kijiji cha kondemoyo maishayangudunisana wazaziwangu wanahali yakawaida sikumoja nikiwa safarini kweny pikipk bahatimbaya nilipatahajali ya kugonga.

Mtuniliepamia aliumiasana hivyo ilipelekea kupotezamaisha kesiilikuwakubwa niliamuakukimbiambalisana mfukoninilibakiwana shiling elf15 tuu nilipanda basi asubih sana yaani alfajir.

Nilikuwa sijui ninapoelekea nilipokuwasafari maswalimenginilijiuliza niwap ninaelekea Lakinisikupatajibu
Safariilikuwandefusana ilitumia mudamrefusana.
Nilianzakupatausingizi hatimaenililala nikiwanimelala ghafla niliguswa kwamshtukomkubwasana nilisikiasautiikiniita weeee kwaukali nilishtukakwakasi Hee kumbealikuwakonda wa basi nilimuuliza vip konda akaniambianitoenauli nikamuulizatena kwanitumefika akanijibu kwaniwap mh nilikuwa jibu nilimuhojitenakwani shiling ngap akaniambia elf30 duuh nilikosapoz

"K**ahanapesa yakutosha ashukee"alisema dereva kwaukalisana nilinyang'anywa pesa na simu kisha wakanishusha njiani porini daah ni lilia sana kwambali kiza kinaingia milio ya wanyamailisikika niliishiwa pozi usiku uliingia naniliamua kulala chini ya mti nililala kwamudamrefu sana.
Mala ghafla nilisikia puuuh niligeuka kuangalia daah nilichokiona.....

Usikose sehemu ya pili share ilitwende samsara.

Adresse

0787186589
Tabora

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Sinto sahau publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager