28/08/2026
My story part2......safari yakuenda Busia
Nilianza safari bila kufahamisha uyo mdada kwanza naja,so nilifunga safari na kumbuka ilikua deal yangu na Baba mkwe,so nilisafari 8 good hrs na nikafika busia bumala salama kabisa,nilikaribisha ila yule mdada hakua nafuraha kuniona hadi akaniuliza kwa chini umefuata nini huku??niliskia nimeudhika sana lakini hiyo wakati nimapenzi yalikua yananicontrol,ilikua mida ya jioni kabisaa,so hatukipiga story sana,waliandaa chakula kisha tukakula maana safari ilikua imenichokesha nikapewa mahali pakulala,keshoye ndio mambo ikaanza,nikajieleza jinsi mambo yalikua mbele ya familia wakaskiza pande zote mbili,nilikua very innocent na kwamtazamo wangu huyo mdada nik**a roho yake haikua inanitaka kabisa ila mimi nilikua naforce issues maana nilikua nimechizi kwenye mapenzi vinoma,baada ya mjadala,mwanadada alikuja akakubali kua tutasafiri nayee back to the city pamoja ila kishingo upande,yaani pressure zawazazi wake ndio zilifanya akubali tu kunirudia ila kwa moyo wake mimi nlikua siko kabisaaa,baada ya kukakaa huko siku tatu,tulipanga safari yakurudi city tukiwa pamoja sasa,mm nilikua nafuraha kabisaa ila mwanadada hakua nami kabisaa,hata ivo,tulisafiri salama natukafika mjini salama kabisaa nikiwa nambembeleza tu,tuliendelea namaisha tu k**a before furaha ikaanza kurudi,hii ilikua baada ya wiki moja...baada yakurestore furaha yetu,siku moja nilichukua simu yake nipigie mtu maana yangu ilikua haina credit,baada yakutoa keylock,nilipigwa na butwaa maana ile message nilipatana nayo kwa simu yake ilijivunja moyo kabisa nikatamani nijitoe roho ila sikumuonyesha,nikatamani nimuue nimmalize nikasema sio suluhisho ilo,ile message nilipatana nayo ilikua inasema hivi.....BEB;UKO WAPI SIJAKUONA KWA MUDA,ULIKUA MTAMU UTANILETEA LINI TENA???.......😭😭😭😭what happened from there hata mm mwenyewe nilushindwa ni njia gani sahihi ningetumia bila kuleta madhara na hiyo story mpaka waleo sijawai decide ila ndani ya moyo wangu bado nazidi kuumia sana,j