Mimi sio wenu tv

Mimi sio wenu tv hi all am a musician click this link https://youtu.be/dm8vzghauoY
(2)

Hello
20/01/2026

Hello

Nigerian afrobeat musician destiny boy dies after vomiting blood
19/01/2026

Nigerian afrobeat musician destiny boy dies after vomiting blood

Usifanye vitu alafu ublame pombe
18/01/2026

Usifanye vitu alafu ublame pombe

Rose muhando kafanya tukaonekana sisi waumbea ni waongo baada ya kusema hajaolewa na hajawai kuolewa
17/01/2026

Rose muhando kafanya tukaonekana sisi waumbea ni waongo baada ya kusema hajaolewa na hajawai kuolewa

Who do you think is right?
15/01/2026

Who do you think is right?

Hawa wawilili ndindi na Babu wakiwania kiti cha urais unaeza chagua nani?
15/01/2026

Hawa wawilili ndindi na Babu wakiwania kiti cha urais unaeza chagua nani?

Happy birthday to gospel artist guardian angel 🎊
04/01/2026

Happy birthday to gospel artist guardian angel 🎊

Esther musila and guardian angel are expecting a baby
04/01/2026

Esther musila and guardian angel are expecting a baby

π€π˜π€ππ€ πŸπŸπ“π‡ ππŽπ• π’πŸŽπŸπ„ππŸŽπŸπŸ“-πŸπŸ” π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Chris akiwa ametulia kwa ofisi yake,punde si punde,Tyron...Chris kwanz...
12/11/2025

π€π˜π€ππ€ πŸπŸπ“π‡ ππŽπ• π’πŸŽπŸπ„ππŸŽπŸπŸ“-πŸπŸ” π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Chris akiwa ametulia kwa ofisi yake,punde si punde,Tyron...Chris kwanza akashtuka akakaa akamuuliza Tyron mbona haraka hata kabla hajamaliza kuuliza alifunikwa ngumi moja ya uso,akajipata ameketi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tyron akamuuliza thats for lying to me umesota unataka pesa....Chris akamuuliza sas hiyo ni kitu ya kutandika mtu hata kabla amalize ngumi ingine ikamkalisha chini akauliza yoh sasa hii ya pili ni ya nani,akaambiwa aje "for messing with my daughter" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Robert alimfuata Jemimah akajaribu kumsikiza akamwambia siz, iam sorry nilikudanganya niliambia Tyron but Jemimah amejam sana na bro wake. Robert alijieleza lakini wapi,Jemimah hataki anything to do with him.

Chris alifunikwa mangumi hadi damu ikatoka akaenda kwa choo kujipanguza. Punde si punde, Chris akampigia simu na Celle Mtumba,akamwambia aki dad ashajua kila kitu. Chris akamwambia relax,hata amekua hapa and I need your trust in this. Tinah anashindwa huyu anajua babangu kweli? Chris alimwambia kila kitu kitakua sawa just relax and calm down nitakuambia kila kitu tukimeet.

Rober akiwa kwa Jemimah bado,walibishiwa. Kufungua mlango ni Tyron..Jemimah akamuuliza unataka nini kwangu? Tyron akamwambia I just want us to talk. Jemimah akamwambia please I don't want anything to do with you but Robert akaambia Jemimah please,hear him out,mimi naenda zangu but be nice to him. Jemimah akamwambia its ok I will be nice.

Robert kutoka tu hivi,Jemimah akauliza Tyron ehee, ongea haraka nataka kuenda kulala. Tyron akamwambia sijui hata nianzie wapi,Jemimah akamwambia anzia penye unaanzia bora uanze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jemimah analetanisha Tyron juu na venye hakua anajua anything. Jemimah aliambia Tyron,sina wakati na masorry zenu but mkae mkijua choices have consequences. Tyron akamwambia he will handle the daughter na ako sure kila kitu kitakua sawa. Jemimah akamwambia ni sawa and good luck you might need it.

Saida ashazoea maisha ya ushago. Sasa akienda kutafuta maji,kibahati mbaya akakutana na yule morio mwenye alisaidia Asha akamgonga. Jamaa akamwambia yoh,pole pole mamake...si wewe ndio ulihamie pale mamake msichana mcoast hivi? Saida akasema yeah. Jamaa ni gentleman kuruka akasaidia Saida kubeba maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe wakati Saida anafika tu hivi,Mathew na Sabina pia ndio wanafika. Sabina amejam,mbaya mbovu.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Saida aliuliza Sabina kilichokuleta? Kwanza Sabina ashaanza kudharau place Saida anakaa akamwambia enyewe huku kunakufaa sana lakini ulifanya makosa sana kuambia Tyron chenye ulimwambia na usiwai kurudi kwangu tena. Saida akamuuliza,umetoka na huko kuja kuniambia huu upuzi? Sabina akamwambia chunga sana mdomo wangu,na k**a unataka kuvuruga familia yangu,chimba kaburi mbili,ju mimi nakuanga mbaya mamaa mbaya sana. Saida akamwambia sasa sikiza, hapa penye umekanyaga ni kwangu so chunga sana mdomo wako naeza kutifua tifua wewe...hunijui!

Waliletana ju Sabina akamwambia sai bweka tu but usiwai karibia kwangu,Saida akamuuliza utadu? Nikija kwako utafanya? Nakuuliza nikikuja kwangu utanifanya nini ukifanye sai sai? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚maji na moto yamekutana.

Turudi kwa Robert na Tyron,Robert was soo apologetic anaambia Tyron please let me explain lakini Tyron akamuuliza kuexplain nini? Ni nini utaexplain? Robert akamwambia I didn;t have choice. Tyron akamuuliza what happened mbona hukuniambia? Kisha Tyron akaambia Robert put yourself in my shoes imagine if Tinah was your daughter ungefeel aje? (sisi already tunajua Tinah ni mtoto wa Robert) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Asha alikua kwa phone call na Mathew ju ashaambiwa amepela Sabina kwa mamake...Mathew alitaka sana wameet na Asha but Asha akamwambia sai si time poa ya kumeet. Kumbe Tinah alisikia,akakuja akaambia Asha enyewe wewe na mamako hamko tofauti mko tu hapa kuvuruka ndoa za watu ukidate married man. Kumbe Asha hakua amekata simu,Mathew akasikia kila kitu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tinah aliambia Asha sikiza,nashuku ni wewe uliambia dad story yangu na ole wako my dad anifanyie kitu,I will a hell out of you and for Mathew,nishakuachia for now enjoy but I will come back for you. Mimi na wewe tutarevisit.

K**a kawaida Jemimah akiwa in pain huwa anamuita Mitchelle beshte yake kumtuliza,angelijua huyu Mitchelle pia ni nyoks...hadi Mitchelle anamwambia its time kufight your fight alone,niambie tu unaplan kufanya nini? Jemimah akamwambia usijali,nitaplan na watajua wamechokoza nyuki. Mitchelle alitaka kujua plans aende aambie Chris but Jemimah akawa mjanja 🀣🀣🀣

Tyron alikuja akiwa amejam sana mkewe akawambia please,dont do anything bad you will regret lakini Tyron akamwambia iam already in regret mode. Tyron aliuliza Tinah ni nini sijai kupea? Tina amenyamaza tu. Tyron akatoa mshipi 🀣🀣🀣🀣

Sabina amesimama mbele ya Tinah na Tyron,Tyron akaambia Sabina ni uondoke ama nipite na wewe sai..kumbe Asha kalisikia kakakuja kakaita babake,k**auliza nini mbaya dad.....kila mtu akaangalia Asha ju kenye walidharau ndio kaliokolea. Kivipi? kesho majaliwa.

π€π˜π€ππ€ πŸ‘πŸŽπ“π‡ πŽπ‚π“ π’π„πŸŽπŸπ„πŸπŸ“ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 weka LIKE ukiendelea kusoma usisahau k**a jana πŸ˜‚πŸ˜‚ππ€π‘π“ 𝟏 USHAWAI ACHWA NA BIBI YAK...
30/10/2025

π€π˜π€ππ€ πŸ‘πŸŽπ“π‡ πŽπ‚π“ π’π„πŸŽπŸπ„πŸπŸ“ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒

weka LIKE ukiendelea kusoma usisahau k**a jana πŸ˜‚πŸ˜‚
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 USHAWAI ACHWA NA BIBI YAKO NA DEM YAKO ONCE...
Tyran alikuja kumuita Asha akamwambia mamaa,kaa chini tuongee kiasi. Asha akashindwa kuna nini,ama washajua amekunywa fombeπŸ˜‚πŸ˜‚but Tyran alimwambia usitense,we good na ningependa kukushukuru sana kunitafuta na wakati mamako kesho anaenda, nataka umuhakikishie chenye anaexpect from you while she will be away.

Asha akamwambia kwanza namshukuru mamangu kwa kunikubali nikutafute na tena nakushukuru sana kwa wewe kunikubali k**a mtoto wako and for mum,I promise and I swear I will not bring her down.

It was both happy and emotional Asha akujua kesho mamake anaondoka. Hadi kanatamani kulia.

Selina na yeye amejaribu sana kumcall Chris but simu hazishikwi,lakini punde si punde, this time round, wakati alicall,mkewe Chris akashindwa huyu ni nani anasumbua sumbua kwa simu ya mumewe,akashika! kushika akasikia aje "Hello babe,baaaabe" Jemimah akashindwa,nani huyu anacall bwanangu babe,akajua mara moja,anagongewa..mako! Makosa.

Jemimah hata hakungoja explanation,aliondika akaanza kupack vitu zale na kuenda, Chris akakuja akamuuliza,shida ni nini hunnie unaenda out ama? Jemimah akamwambia sikiza, nakupea time ukae na huyo Cele Mtumba wako. Chris akamwambia aah,unasema huyo dem huwa anatuuzia mitumba kwa ofisi? Jemimah akamwambia usinibebe wana,she called,nikashika akakuita babe πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯ΉChris akajua kimenuka. Alafu ni fala,ati sasa anajam,anaambia Jemima hakuna penye unaenda wewe,he even started being brutal kwa mkewe na imagine mtoto wao ako tu hapo,anajionea kila kitu.

Chris aliambia Jemimah k**a ni kuenda unaenda,then huendi na mtoto wangu. Chris alikatalia mtoto πŸ₯²πŸ₯²mtoto analia anataka mamake but Chris alikataa,Jemimah woiye,utaenda bila mtoto?

On other side, kabla Saida hajaondoka kuenda Mombasa,,something changed. Sabina na venye alikua anataka sana Saida aende,amini msiamini,she changed her mind akaambia Tyran, haina haja Saida aende,acha tu abaki hapa akae na sisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Saida akashindwa what changed again...lakini niwaambia ukweli wa mambo,Sabina ni mjanja,she knows the law of keeping your enemy closer ju anajua Saida ashajua kuna kitu kati yao na Rober πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chris alikuja akatafuta Selina,akamuuliza wewe,mara ngapi nakuambia usiwai nipigie simu usiku? Selina akamwambia yoh! Watch your tone kababaa, kuna shida? Chris alimwambia my wife ashajua kila kitu kutuhusu na sasa ushaharibi maneno. Selina akamwambia thats your problem them,sort it out and make sure unadelete my number na usiwai nitafuta,fix your marriage na usiwai nitafuta. Wueh! Chris,akaachwa na bibi na tena akaachwa na dem yake πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Asha aliita Sabina ati "mum Sabina" mamake akamwambia wee,mimi ndio mamako huyo ni mamake Selina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Saida anaambia Asha,mbona siamini huyu mwanamke,mara hanitaki tena mara anataka nikae huku..Asha akamwambia we mama na weee,umezoea shida hadi unashuku kila kitu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jemimah! Amekuja kwa beshte yake.Mitchelle, mwenye alimwambia kuhusu Chris akilia tu,akamwambia nishajua ukweli wa mambo,na hata Chris simtakio kabisa acha akae na huyo Celestine wake...beshte akamwambia yoh, mbona utoke kwako..umesahau wee ndio umesaidia Chris kufika penye ako? Jemimah akamuuliza sasa nifanye nini? Beshte yake akamwambia sikiza, boma ni yako,huwezi achia msichana mwingine,baki kwako for Ivy your kid.

Ivy mwenyewe amejam sana,hana furaha. Babake alikuja na gifts akamuuliza, niko na zawadi mbili unataka gani princess? Katoto kakamwambia nataka mamangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe Jemimah hata wanajuana na Robert..alikuja akamshtaki Chris kwa Robert na hata akamuonyesha zile chats. Robrrt akashtuka akamuuliza sasa nitafanya nini? Jemimah akamwambia sikiza ambia Tyran akataze mtoto wake kwa ndoa yangu. Robert akashtuka akamuuliza unamaanisha? Jemimah akamwambia yeah, akataze Celestine before I do ju nikifanya,kuna mtu ataenda mortury. Sikiza, Jemimah,Robert,Tyran wanajuana vizuri sana.

Robert alimcall Sabina akamwambia we need to meet now now,its about Celestine. Wueh! Kumeanza kuchemka. Wait yani bado haujanifollow, usiende bila kunifollow

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mimi sio wenu tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mimi sio wenu tv:

Shortcuts

Share