NOOR International kiswahili

NOOR International kiswahili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NOOR International kiswahili, Book shop, السعودية, Riyadh.

Hakika, Mola wenu Mlezi ni Allah ambaye ameumba mbingu na ardhi katika siku sita, kisha akalingana sawa juu ya Arshi, an...
19/08/2026

Hakika, Mola wenu Mlezi ni Allah ambaye ameumba mbingu na ardhi katika siku sita, kisha akalingana sawa juu ya Arshi, anaendesha mambo yote, hakuna muombezi yeyote (atakayekubaliwa uombezi wake) isipokuwa baada ya idhini yake tu. Huyo, kwenu nyie, ndiye Allah, Mola wenu mlezi, basi muabuduni. Hivi hamuonyeki? (YUNUS: 3)

Rahakubwakatikamaishahayayadunianinikujuakuwa Allah pekeyakendieanayekiendeshakilakitu.

Tambuakuwa:siyokilakinachotokeakipodhidiyako, balibaadhiyakenimuongozowakokatikakheri.

MAZINGATIO:
Kumtegemea Allah ninuruya Qur’an.

Hakika, Mola wenu Mlezi ni Allah ambaye ameumba mbingu na ardhi katika siku sita, kisha akalingana sawa juu ya Arshi, an...
18/08/2026

Hakika, Mola wenu Mlezi ni Allah ambaye ameumba mbingu na ardhi katika siku sita, kisha akalingana sawa juu ya Arshi, anaendesha mambo yote, hakuna muombezi yeyote (atakayekubaliwa uombezi wake) isipokuwa baada ya idhini yake tu. Huyo, kwenu nyie, ndiye Allah, Mola wenu mlezi, basi muabuduni. Hivi hamuonyeki? (YUNUS : 3)

’ani_Tukufu

17/08/2026

Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri). Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Adhabu yangu ninamlenga nimtakaye, na rehema yangu imekienea kila kitu. Basi nitaiandika (hiyo rehema yangu) kwa ambao wanamcha Allah na wanaotoa Zaka na (kwa) wale ambao Aya zetu wanaziamini (AL-AARAAF: 156)

Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri). Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Ad...
16/08/2026

Lau watuwangejuaupanawarehemaya Allah, basiwangeliasanakwakuwanamatumaininasikuwanahofu.

MAZINGATIO:
Matumainiyakupatamsamahaninuruya Qur’an.

Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri). Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Ad...
15/08/2026

Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri). Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Adhabu yangu ninamlenga nimtakaye, na rehema yangu imekienea kila kitu. Basi nitaiandika (hiyo rehema yangu) kwa ambao wanamcha Allah na wanaotoa Zaka na (kwa) wale ambao Aya zetu wanaziamini (AL-AARAAF: 156)

Rehemaza Allah hazitafutwikwawakamilifu, balizinatafutwakwawenyekutubu.
Na kwaajilihiyo, ndiomaana Allah amesema: “Rehemayanguimeeneakilakitu”.

MAZINGATIO:
Rehemaya Allah ninuruya Qur’an.

Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri). Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Ad...
14/08/2026

Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri). Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Adhabu yangu ninamlenga nimtakaye, na rehema yangu imekienea kila kitu. Basi nitaiandika (hiyo rehema yangu) kwa ambao wanamcha Allah na wanaotoa Zaka na (kwa) wale ambao Aya zetu wanaziamini (AL-AARAAF: 156)

’ani_Tukufu

13/08/2026

Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na (hawataki) kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike

Allah aliyekufanyieni usiku ili mpate kutulia humo, na mchana wa kuonea. Hakika Allah bila ya shaka ni Mwenye fadhila juu ya watu, lakini watu wengi hawashukuru(GHAAFIR: 60-61)

’ani_Tukufu

Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na (hawataki) kuniabudu Mimi watai...
12/08/2026

Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na (hawataki) kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike

Allah aliyekufanyieni usiku ili mpate kutulia humo, na mchana wa kuonea. Hakika Allah bila ya shaka ni Mwenye fadhila juu ya watu, lakini watu wengi hawashukuru (GHAAFIR: 60-61)

Tutambuekuwasisihatushindwikwasababuniwanyonge. Bali nikwasababuhatusimamiipasavyokatikadua(maombi).

Tambuakuwakilaunapoinuamikonoyakokuombadua, basihaupompweke, baliupona Allahdaima.

MAZINGATIO:
Matumainimemaninuruya Qur’an.

Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na (hawataki) kuniabudu Mimi watai...
11/08/2026

Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na (hawataki) kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike

Allah aliyekufanyieni usiku ili mpate kutulia humo, na mchana wa kuonea. Hakika Allah bila ya shaka ni Mwenye fadhila juu ya watu, lakini watu wengi hawashukuru (GHAAFIR: 60-61)

Ahadi njema iliyopo katika maisha yako ni kuona kuwa Allah Mtukufu amesema:
“Niombeni” katika hali ambayo hakuna kizuwizi wala mlango ulio fungwa kati yako na kati yake, bali anakupa ahadi njema ya kukupa mafanikio.

MAZINGATIO:
Dua (maombi) ni nuru ya Qur’an.

Na ukimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi na Pepo (ambayo) upana wake ni mbingu na ardhi, iliyoandaliwa kwa ajili ya wac...
10/08/2026

Na ukimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi na Pepo (ambayo) upana wake ni mbingu na ardhi, iliyoandaliwa kwa ajili ya wacha Mungu

(Wacha Mungu) Ambao wanatoa (katika vile walivyopewa na Allah) katika hali ya wasaa na katika hali ya dhiki, na wenye kuzuia hasira (zao) na kusamehe watu (wanaowakosea). Na Allah anawapenda wafanyao mazuri (AL-IMRAN : 133-134)

’ani_Tukufu

Address

السعودية
Riyadh

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NOOR International kiswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category