kidoti_collection_store

kidoti_collection_store AGIZA BIDHAA KUTOKA CHINA KIWANDANI

Glass skin setFace & Body cream 35,000/=Sunscreen 35,000/=Showergel 35,000/=Serum 30,000/= Zipo dukani 0624708439
19/08/2026

Glass skin set
Face & Body cream 35,000/=
Sunscreen 35,000/=
Showergel 35,000/=
Serum 30,000/=
Zipo dukani 0624708439

EGYPTIAN MAGIC SERUMMoja ya serum ambazo hazimkatai mtu. Na ni for all skin type inakupa uhakika wa;💧Unyevu wa Muda Mref...
02/06/2026

EGYPTIAN MAGIC SERUM
Moja ya serum ambazo hazimkatai mtu. Na ni for all skin type inakupa uhakika wa;
💧Unyevu wa Muda Mrefu (Deep Hydration)
Serum hii ina uwezo mkubwa wa kufunga unyevu ndani ya ngozi. Hii ni muhimu sana kwa watu wenye ngozi kavu au ngozi iliyochoka, kwani inasaidia kuifanya ngozi kuwa laini, nyororo, na yenye afya kwa muda mrefu.
🔆Ukarabati wa Ngozi (Skin Repair)
Viambato vilivyomo ndani ya serum hii mara nyingi husaidia katika:
*Kutuliza ngozi:* Inasaidia kutuliza mwasho au ngozi iliyopata hasira (irritation).
*Kuponya*: Inasaidia kwa ngozi iliyoharibika na jua au hali ya hewa ya nje.
🔆Kupunguza Dalili za Kuzeeka (Anti-Aging Benefits)
🔆Ulinzi wa Ngozi (Skin Barrier Protection)
Inajenga safu ya kinga dhidi ya uchafuzi wa mazingira, vumbi, na mionzi ya jua.

Bei:15,000

Agiza vitenge Kwa 8,500 tu PCs 3 kuanzia piece 50Karibuni tuweke oderTembelea page yetu kidoti_collection_store Au tuche...
06/04/2024

Agiza vitenge Kwa 8,500 tu PCs 3 kuanzia piece 50

Karibuni tuweke oder
Tembelea page yetu kidoti_collection_store

Au tucheki 0624708439 kuweka oder yako.

Hivi vitenge bongo 30,000 mpk 25,000 ukiagiza Kwa hii Bei faida ni kubwa sanaa

Table lumps  15,000 kuagiza
26/10/2022

Table lumps 15,000 kuagiza

13/11/2021

PATA VITENGE KWA BEI YA JUMLA PIC 3 ELFU 15,000TU VITENGE NI PURE COTTON AMBAVYO UNAUZA MPAKA ELFU 25,000,30,000 INATEGEMEA ENEO ULIYOPO NA UNAHITAJI FAIDA IPI...NICHEKI 0624708439 POPOTE UNATUMIWA

Address

Arusha
0000

Telephone

+255624708439

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kidoti_collection_store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to kidoti_collection_store:

Shortcuts

Share