07/06/2024
ujinga wako ni fursa kwa mwingine na ukiwa unapoteza ela bila kuingiza wewe ni mjinga wa mtu kwa maneno haya tafakari na uchukue hatua na kuongeza kipato chako kwa elimu ya maana na yenye ubora karibu kwa wakurugenzi bora wa sasa na baadae