16/05/2022
Mama akiwa na kijana wake wa kiume anaamua kuhamia eneo lingine mbali kabisa na Mme wake ambae alikua anamfanyia unyanyasaji, balaa ni kwamba sehemu aliyohamia alifikiri ni safe kwa maana kakimbia tatizo.
Lakini kumbe ndio ameenda kulifuata tatizo jipya zaidi ambalo mtiti wake kila ambae alikua anamsimulia anamuona k**a kachanganyikiwa.