Renny Digital

Renny Digital Secure your Space with RENNY DIGITAL
CCTV Camera, Electric Fence, Access Control, Fire Alarm and more..

10/10/2026

Tumehitimisha wiki ya wateja hapa hapa mwanzaπŸ”₯πŸ”₯
Endeleeni kuchagua Renny Digital Solutions,
Endeleeni kuchagua Tiandy

Fika kwnye maduka yetu yaliyopo Dar es salaam na Arusha ujipatie mifumo bora ya ulinzi, gatemotor, electric fence, CCTV ...
10/10/2026

Fika kwnye maduka yetu yaliyopo Dar es salaam na Arusha ujipatie mifumo bora ya ulinzi, gatemotor, electric fence, CCTV camera

πŸ“ Dar es Salaam – Makumbusho
πŸ“ Arusha – Makao Mapya
πŸ“ž +255 758 770 662 | +255 757 009 684

Maduka yetu ya Renny Digital Solutions tayari yapo wazi kukupa kilicho bora kabisa kwaajili ya usalama wa mali zako.
10/10/2026

Maduka yetu ya Renny Digital Solutions tayari yapo wazi kukupa kilicho bora kabisa kwaajili ya usalama wa mali zako.

09/10/2026

Huu hapa ulinzi wa uhakika πŸ”₯
3MP FIXED COLOR MAKER (WIFI PT CAMERA)

Ipo kwenye maduka yetu ya Renny Digital Solutions

Upendo kwa vitendoπŸ₯°πŸ€—Wiki ya huduma kwa wateja inaendelea , na sisi tunaendelea kuonesha thamani kwa wateja wetu, nyie nd...
08/10/2026

Upendo kwa vitendoπŸ₯°πŸ€—
Wiki ya huduma kwa wateja inaendelea , na sisi tunaendelea kuonesha thamani kwa wateja wetu, nyie ndio maboss zetu πŸ€—

Endeleeni kuchagua RENNY DIGITAL SOLUTIONS COMPANY LIMITED
Endeleeni kuchagua Tiandy

07/10/2026

Tunaendelea kusambaza upendo kwa wateja wetu, hapa ni Moshi
Hii ni wiki ya wateja πŸ€—πŸ”₯πŸ”₯

Endelea kuchagua RENNY DIGITAL SOLUTIONS COMPANY LIMITED na
πŸ“ Dar es Salaam – Makumbusho
πŸ“ Arusha – Makao Mapya
πŸ“ž +255 758 770 662
πŸ“ž +255 757 009 684

07/10/2026

Hatupoiiii, zawadi zinaendelea kuwafikia wateja wetu,
Ikumbukwe kuwa, hii ni wiki ya wateja , tunawapenda wateja wetu

Renny Digital Solutions tupo kwaajili yako, chagua kufanya kazi nasi

07/10/2026

5MP FIXED COLOR MAKER ( BULLET CAMERA)
Available in our stock πŸ€—

06/10/2026

Tunawapenda wateja wetu
Happy customer service week
Endeleeni kuchagua Renny Digital Solutions

Digital Solutions

05/10/2026

Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja! πŸ’š
Tunawathamini, tunawasikiliza na tunajivunia kuwa sehemu ya safari yenu ya kidigitali.
Tutaendelea kuwahudumia kwa ubunifu, ubora na suluhisho bora za kidigitali.
Asante kwa kuichagua na kuiamini Renny Digital Solutions.

Your Digital Success, Our Priority.


πŸ“ Dar es Salaam – Makumbusho
πŸ“ Arusha – Makao Mapya
πŸ“ž +255 758 770 662
πŸ“ž +255 757 009 684

Address

Makao Mapya, Asante Rabi Stand
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Renny Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share