22/08/2024
Swipe left Kuona Feedbacks za Juliet EveJuliet Eve
Hii ni tiba lishe ( supplement) ya asili kabisa..imetengenezwa kwa mitishamba
Hii ni kwa ajili ya wanawake tu. Bei 150000 tupigie/0624174038
Yan mwaka huu kutopendeza uwe umejitakia mwenyewe tu
Kwanza kabisa vinasaidia kubalance hormone za kike...hormone zisipokua katika kiwango stahiki ndo hivo unapata michunusi,uzito kuongezeka au kupungua ovyo ovyo...kuwa na ngozi mbaya chafu chafu,mzunguko wa hedhi kutoeleweka,maumivu katika hedhi,kitumbo kujaa gesi ovyo,nywele kukatika ,ugumba n.k
Matatizo yanayohusiana na hormonal imbalance ni mengi kwa kutaja siwez yamaliza yote...ila hivi vidonge vinasaidia kuzisawazisha hormone katika uwiano unaofaa na kwa kufanya hivo maana yake utaepuka matatizo yote tajwa hapo juu
Ni nzuri kwa wanaosumbuliwa na UTI za mara kwa mara
Ni vidonge vizur sana kwa waliojifungua kwa Kupush vinabana uke km vile hujawahi kuzaa...kwa wale ambao hamjazaa ila mnataka kubana uke kuna namna ya kuvitumia pia ili uke usibane sana bikra isije ikarudi bure 😂😂
Huhitaji kutoa mamilion kufanya surgery za kubana uke wakat juliet eve ipo na ni salama kabisa na matokeo yake ni kuanzia week ya kwanza
Vinafaida nyingi sana kwa waliotoka kujifungua
Vinaongeza joto na utelezi ukeni
Faida nyingine inaleta muonekano mzuri wa mvuto bila upasuaji..inasaidia kujaza matiti ata wale wenye ndala..ziwa linajaa vizur kbsa...hapa inadeal na hormone..k**a vile ambavo ukiwa hedhi maziwa yanajaa
Pia inakata mafuta mwilini na tumboni...inakupa kiuno kizur kilichojikata hasa kwa wale wanaofanya mazoez au detox
Vinaondoa michiriz na cellulites
Vinajaza nywele na kuzuia zisikatike
Vinaondoa harufu mbaya ukeni na kupunguza uchafu ule mweupe unaotokaga
Vinapunguza tatizo la ugumba linalosababishwa na hormone
Vinaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa kuwianisha hormone...apa k**a hujaolewa kunywa kimoja tu kwa siku 😂
Vinapunguza maumivu ya kichwa na migraine
Vinasaidia kurudisha afya na mwili wa mtu aliyetoka kujifungua kwa kupush au operesheni...mwili unarudia hali yake haraka tumbo linakatoka haraka ...vinabana kuta za uke n.k
Bila kusahau vinang'arisha kias na kusoftisha sana
Vina