11/12/2024
Glasses Wireless Headset
👉🏾 bei Tsh 45,000/=
👉🏾Pale ambapo Fashion na Technology zinaungana na kutengeza miwani ya kisasa ya kujikinga na jua ambayo pia ni bluetooth headset.
👉🏾Unaweza kusikiliza mziki pamoja na kupokea simu huku ukijikinga na miale ya jua
Tunafanya Delivery Tanzania nzima na malipo ni baada ya kupokea mzigo
☎️WhatsApp 0744-274-226
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Likoma na Aggrey
Wateja wa Jumla nicheki DM