Wauza Vitabu

Wauza Vitabu Tunauza Vitabu popote utapokwepo Nchini TANZANIA

14/05/2026

📚 TAFAKKUR YA LEO 📚

Darasani unaweza kupewa mwanga wa elimu, lakini vitabu vinakupa upeo mpana wa maisha.
Msomaji wa vitabu hujijengea akili, maarifa na uwezo wa kuona mbali zaidi ya wengine.

Usiache kusoma…
Kila ukurasa unaousoma ni hatua mpya ya mafanikio yako. ✨

Unapendelea vitabu gani leo?????

Mtu anayependa vitabu huwa hasafiri peke yake, kwani kila kitabu ni rafiki wa fikra.Je wewe unapenda vitabu vya aina gan...
13/05/2026

Mtu anayependa vitabu huwa hasafiri peke yake, kwani kila kitabu ni rafiki wa fikra.

Je wewe unapenda vitabu vya aina gani????

13/05/2026

Vitabu ni madirisha ya maarifa; kila ukurasa unafungua dunia mpya.

27/03/2026

KIPACKAGE CHA UCHAMUNGU

Hiki ni kifurushi cha vitabu muhimu vinne vitakavyokupa elimu kamili ya maisha yako ya kila siku kiutendaji, na uzuri ni kwamba usisome peke yako, unapokwama sehemu yoyote unatuuliza tunakupa elim na ushauri na nasaha.

Je wewe!!!! Unataka kuimarisha imani yako na kujifunza kwa usahihi? Hiki hapa kifurushi maalum kwa ajili yako 📚 Ndani yake utapata:

Tafsiri ya Qur’an (Abdallah Al-Farisi)
➡️ Elewa Qur’an kwa lugha rahisi ya Kiswahili na ujumbe wake wa moja kwa moja.
Muntakhab al-Ahadith
➡️ Mkusanyiko wa hadithi muhimu kutoka katika vitabu sahihi kwa mwongozo wa maisha ya kila siku.
As-Sifat Swalat an-Nabiy
➡️ Jifunze jinsi sahihi ya kuswali k**a alivyofundisha Mtume ﷺ swala za faradh na sunna zote.
Hisnul Muslim
➡️ Dua na adhkari za kila siku kwa kinga na baraka katika maisha yako.

Bonyeza sasa kuwasiliana nasi WhatsApp na andika:
👉 “KIPACKAGE CHA UCHAMUNGU”

Tutakuelekeza jinsi ya kupata vitabu hivi kwa urahisi vikufikie.

MAWASILIANO WHATSAP:
0799707083

08/03/2026
27/02/2026

✨ Je, unasoma Qur’an bila kuelewa maana yake?

Sasa imefika muda wa kubadilika!

📖 Tafsiri ya Qur’an ya Sheikh Abdallah al-Farsiy
âś” Kiarabu
âś” Kiswahili
âś” Transliteration (kwa wasioweza kusoma Kiarabu vizuri)

Hiki si kitabu cha kawaida… ni daraja la kukuunganisha na Qur’an kwa uelewa wa kina. Agiza ukufikie Leo.

🔥 Jifunze kusoma Qur’an ndani ya muda mfupi kupitia kozi yetu ya online
🔥 Elewa maana halisi ya Aya unazosoma
🔥 Ongeza khushuu na mapenzi ya Qur’an moyoni mwako

Usikose fursa hii ya kubadilisha maisha yako na Qur’an.

👉 Bonyeza tangazo sasa
👉 Agiza misahafu yako
👉 Jiunge na kozi ya Qur’an leo

Qur’an bila tafsiri ni sauti… Qur’an na tafsiri ni mwanga. ✨

MAWASILIANO: 0799707083

+255799707083

Kila kufuri lina ufunguo wake na ufunguo wa kuifahamu Quran ni kuitafakari na kupata ibra juu ya mafundisho yake, na hil...
24/02/2026

Kila kufuri lina ufunguo wake na ufunguo wa kuifahamu Quran ni kuitafakari na kupata ibra juu ya mafundisho yake, na hilo haliwezekani k**a huelewi ujumbe wa Quran una maana gang, ndo maulamaa wakafanya jitihada kutuandalia kazi nzuri k**a hizi za vitabu vya TAFSIRI YA QURAN.

➡️Pata kitabu chako Leo chenye Tafsiri sahihi na nyepesi kufuatilia.

➡️Nakala ngumu (hardcopy) yenye muonekano mzuri

➡️Inafaa kwa kujisomea, kufundishiaa au ZAWADI

➡️Tunatoa pia programs za online za kujifunza imaan, tafsir na lugha za kiarabu na English.

HIKI NI KITABU CHA QURAN KINACHOKUSAIDIA KUSOMA NA KUELEWA KWA WAKATI MMOJA.

BOFYA LINK KWA UTARATIBU KAMILI WA KUPATA UNACHOHITAJI

+255799707083

WAUZA VITABU Mawasiliano: 0685303727 au 0740156908VITABU/BOOKS Awali/Nursery.Shule za Msingi/PrimaryShule za Secondary.H...
04/01/2025

WAUZA VITABU

Mawasiliano: 0685303727 au 0740156908

VITABU/BOOKS
Awali/Nursery.
Shule za Msingi/Primary
Shule za Secondary.
High school.
Vyuo/University/College.

Novels/Inspiration/Motivation.
Complete 5, 6 & 7
Revision 3&4/Question and Answers/Examination.
Mastering 5, 6 & 7.
Mastering 3&4
KESS 5, 6 & 7
Reviews form 1&2
Reviews form 3&4
Vitabu vya maswali na majibu.
Advance learner dictionary.
Student dictionary
Concise dictionary
Basic dictionary
Kamusi/Kamusi kuu/TUKI
Atlas za English na za kiswahili
Maps/Ramani ya Afrika, Afrika mashariki na ya Tanzania.
Vitabu vya Dini
Vitabu vya Taalim
Cambridge
Stationaries

Watunzi/Publishers/Writers
TIE/APE/MEP/OXFORD/LONGHORN/BANTU DIGITAL. HAMZA NAPUNDA, KESS .

Ukihitaji unaletwa mahala ulipo.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wauza Vitabu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wauza Vitabu:

Shortcuts

Share

Category