miss_happinessy

miss_happinessy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from miss_happinessy, Shopping & retail, Dar es Salaam.

14/08/2022

I LOVE YOU

Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚Siku muhim kwang kua na furaha na kuendelea kutabasam kwakua Mungu kanibariki uhai hadi leo naon...
03/09/2021

Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚
Siku muhim kwang kua na furaha na kuendelea kutabasam kwakua Mungu kanibariki uhai hadi leo naongeza mwaka mwingne tena naomuomba Allah azidi kunibariki katika utafutaji wang na endelee kunilinda na kunipa afya bora zaid InshaAllah πŸ™‡β€β™€οΈπŸ™‡β€β™€οΈπŸ™‡β€β™€οΈ

πŸ’ͺ



πŸ”°

Kwanza kabisa napenda kumshukur ALLAH kwakuweza kunifikisha hadi siku hii muhim siku yang ya kuweza kuingia dunia Pili k...
03/09/2021

Kwanza kabisa napenda kumshukur ALLAH kwakuweza kunifikisha hadi siku hii muhim siku yang ya kuweza kuingia dunia Pili kuwashukur wazazi wang Baba na Mama kuweza kunilea kwa pamoja hadi hapa nilipofikia bila kuchoka tatu kuwashukur ndugu zang wote na marafiki kua pamoja na mm kwa wakati wote wa shida na raha kuweza kunipa faraja muda wote asanteni sana.
πŸŽ‚πŸŽ‚πŸΎπŸΎ



19/08/2021

Vyakurithi vinazidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


😊

Heri ya siku ya wa mama duniani....Ikawe keri kwa kila mama aliopo duniani na waliotangulia mbele za haki tutabaki kuwao...
09/05/2021

Heri ya siku ya wa mama duniani....

Ikawe keri kwa kila mama aliopo duniani na waliotangulia mbele za haki tutabaki kuwaombea wapumzike salama kwan wamefanya kaz kubwa sana kipindi cha uhai wao kwa kulea familia zao.



❀️❀️❀️
πŸ’ͺ

Wanawake tukiwezeshwa tunaweza .....
07/05/2021

Wanawake tukiwezeshwa tunaweza .....


04/01/2021

In life u must make sure your own happiness can't disappear try to make yourself happy before another makes u happy.... 😚😚😚




Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when miss_happinessy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share