TUITE Shopping centre

TUITE  Shopping centre TUNAHUSIKA NA UUZAJI WA VITU VYA MAJUMBANI, LINK
https://chat.whatsapp.com/CiTPaAlGR9w4Q9qaPRD7Fd

LUNCH BOX TSH 55000Jipatie lunch box nzur na imara Kwa matumizi ya nyumbani, lunch box hii inakupa uwezo mkubwa sana uki...
28/05/2025

LUNCH BOX TSH 55000

Jipatie lunch box nzur na imara Kwa matumizi ya nyumbani, lunch box hii inakupa uwezo mkubwa sana ukiwa na wageni Kwa kuandaa chakula chako sehem nzur na yakuamini

Tunapatikana kariakoo mtaa wa Agray na skukuu

Dolphin microwave Ltr 20…..165,000/=Dolphin microwave Ltr 20 hii ni Moja kati ya microwave ambazo zipo vizur sana na ina...
23/11/2024

Dolphin microwave Ltr 20…..165,000/=

Dolphin microwave Ltr 20 hii ni Moja kati ya microwave ambazo zipo vizur sana na inaweza kupasha chakula mfululizo Kwa wakat mmoja

Tunapatikana Agray na skukuu (kariakoo)

Call/Whatsapp 0655510008

Karibuni sana

Pressure cooker 8L Kenwood (16 in 1) Tsh 130000/=Kenwood sasa wameleta pressure cooker ya familia kwa wake wenye familia...
09/06/2024

Pressure cooker 8L Kenwood (16 in 1) Tsh 130000/=

Kenwood sasa wameleta pressure cooker ya familia kwa wake wenye familia hii itakusaidia sana

Wapendwa pressure cooker haili umeme kabisa hata Unit moja hsimalizi kwa kupika chakula chochote ulichohitaji kupika inamatumiz madogo sana ya umeme

Call/WhatsApp 0655510008

Tunapatikana kariakoo mtaa wa Agray na skukuu

TUITE ULIPO TUPO

Blender 2 in 1 Tsh 50000/=Blender hii ni kwamahitaji ya nyumbani kusaga juic viungo vya chai Call/WhatsApp 0655510008Tun...
03/06/2024

Blender 2 in 1 Tsh 50000/=

Blender hii ni kwamahitaji ya nyumbani kusaga juic viungo vya chai

Call/WhatsApp 0655510008

Tunapatikana kariakoo mtaa wa Agray na skukuu

Tuite ulipo tupo

RAF HEAVY DUT JAGI MOJA Tsh 120000/=Raf heavy duty blender hii nimoja ya heavy dut nzur sana kuwa kutokea inakupa kila u...
02/06/2024

RAF HEAVY DUT JAGI MOJA Tsh 120000/=

Raf heavy duty blender hii nimoja ya heavy dut nzur sana kuwa kutokea inakupa kila unachohitaji ili utimize kila ulicholenga kufanyia kwenye blender hii

Chalula cha mtoto
Kusagia nafaka
Kusagia juic pamoja na barafu

Call/WhatsApp 0655510008

Tunapatikana kariakoo Agray na skukuu

*TUITE POPOTE ULIPO TUPO*

RAF BLENDER 3 IN 1 Tsh 130000/=Kwetu ndo sehem utakayopata vitu original na kwabei nafuu sana kuliko popote Raf ni kampu...
02/06/2024

RAF BLENDER 3 IN 1 Tsh 130000/=

Kwetu ndo sehem utakayopata vitu original na kwabei nafuu sana kuliko popote

Raf ni kampuni miongon mwa kampuni zinazotoa bidhaa origina na imara sana hapa dunian

Jipatie blender hii 3 in 1 ambayo unapata na chopper yake hapo hapo juic ya aina yoyote ile hii inasaga hata ukitaka kuweka na barafu nda chakula cha mtoto cha aina yoyote hii inatengeza bila kusahau nafaka hii ndo mahara pake

Call/WhatsApp 0655510008

Tunapatikana kariakoo mtaa wa Agray na skukuu

*Tuite popote ulipo tupo*

SPJ blender Tsh 90000/=SPJ ni moja kati ya kampuni inayotoa bidhaa nzur na imara za electronic kwa matumizi ya nyumban b...
30/05/2024

SPJ blender Tsh 90000/=

SPJ ni moja kati ya kampuni inayotoa bidhaa nzur na imara za electronic kwa matumizi ya nyumban blender hii ni nzur sana na ngumu hudumu kwa muda mrefu sana hulainisha nafaka kwa ulais

Call/WhatsApp 0655510008

Tunapatikana kariakoo agray na skukuu

Kalibuni sana kwa mahitaji yote ya bidhaa za nyumbani kwako

*TUITE ULIPO TUPO*

Pressure Cooker 6L (10in1) Tsh 100,000/= chapa ya ENGLAND PRESSURE COOKER inaweza kupika vitu mbali mbali zaid ya 10 (ku...
27/05/2024

Pressure Cooker 6L (10in1) Tsh 100,000/= chapa ya ENGLAND

PRESSURE COOKER inaweza kupika vitu mbali mbali zaid ya 10 (kumi) na imeboleshwa kutoka kwenye rice cooker mpaka kufanywa pressure cooker hii inapika vitu tofaout na rice cooker

✓inapika vyakula vyote kwa ustadi wa hali yajuu sana na kila unachotaka kupika unabonyeza tu batani kinajipika huku wewe unaendelea kufanya kazi zako nyingine na itajizima yenyewe baada yakuivisha

Call/ WhatsApp 0655510008

Tunapatikana kariakoo mtaa wa Agray na skukuu

*Karibuni wateja wetu wote*

Ofa pressure cooker Dessini 6L Tsh 100000/= chapa ya ITALYWapendwa  hii ni pressure cooker uwezo wake ni kupika vitu zai...
20/05/2024

Ofa pressure cooker Dessini 6L Tsh 100000/= chapa ya ITALY

Wapendwa hii ni pressure cooker uwezo wake ni kupika vitu zaid ya 10(kumi) chochote kile kigumu unaweza kupika kwenye pressure cooker hii na sio zile ukiwasha unabaki unaisubilia ili isipitilize dakika zake hii ukiwasha umeweka chakula chako hata k**a unasafar zako utaenda na utakuta chakula chako kipo vizur tu

Call/WhatsApp 0655510008

Tunapatikana kariakoo Agray na skukuu

Popote ulipo nasisi tupo

Rice cooker Kenwood 1.8L Tsh 45000/=Rice cooker ya Kenwood ni rice cooker ambayo inakupa uwezo mkubwa saba wakupika chak...
20/05/2024

Rice cooker Kenwood 1.8L Tsh 45000/=

Rice cooker ya Kenwood ni rice cooker ambayo inakupa uwezo mkubwa saba wakupika chakula chako na jiko lake chini haliweki kutu miyaka yote,imetengenezwa kwa material mazur na imara kwa kutunza joto

Call/WhatsApp 0655510008

Tunapatikana Agray na skukuu

Karibu sana wateja wetu popote ulipo sisi tupo

Philips  original Tah 45000/=Kwetu ndo sehemu pekee unawezakupata vitu original na vyenye ubora wa hali ya juu sana,Phil...
20/05/2024

Philips original Tah 45000/=

Kwetu ndo sehemu pekee unawezakupata vitu original na vyenye ubora wa hali ya juu sana,

Philips original ni pasi yenye ubora wa hali ya juu sana inauwezo wa kubalansi moto

Call/WhatsApp 0655510008

Tunapatikana kariakoo Agray na skukuu

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TUITE Shopping centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TUITE Shopping centre:

Share