Prosper paul mally

Prosper paul mally Karibuni TANZANITE STATIONARY AND GENERA SUPPLIES NA TANZANITE GENERAL STORE TUPO KARIAKOO MTAA WA KONGO NA KIPATA PIA TUPO SIKUKU NA LINDI

HUU NI MWAKA WA MAFANIKIO HATA MKIUNGANA KUPINGA MIMI NATOBOA
10/01/2024

HUU NI MWAKA WA MAFANIKIO HATA MKIUNGANA KUPINGA MIMI NATOBOA

"Daudi alifanikiwa kwa kuwa alijua nguvu zake zinatoka kwa MUNGU,usiangalie ukubwa wa ukuta ulioko mbele yako bali mtaza...
11/10/2021

"Daudi alifanikiwa kwa kuwa alijua nguvu zake zinatoka kwa MUNGU,usiangalie ukubwa wa ukuta ulioko mbele yako bali mtazame MUNGU atakusaidia,wakati wa MUNGU ukifika atakuiinua tu, hata wakuwekee mawe yatawaponda wenyewe,kuna wakati limao lilikuwa na thamani kuliko chungwa ni subra tu" TUNAISHI HALAFU TUNAISHIA MKUBWA MUNGU kisichofaa leo kitafaa kesho, WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO time will tell

"Anayekusifia leo anayo sababu ya kukuzomea kesho,anayekuzomea leo anayo sababu ya kukusifia kesho usiweke nongwa pale a...
08/10/2021

"Anayekusifia leo anayo sababu ya kukuzomea kesho,anayekuzomea leo anayo sababu ya kukusifia kesho usiweke nongwa pale anayekusifia leo akikuzomea kesho,au kumshuku anayekuzomea leo akikusifia kesho,hisia na maoni ya watu juu yako hubadilika sababu za awali zinapobadilika." TUNAISHI HALAFU TUNAISHIA MKUBWA MUNGU uhalonda kuzuma tanu usinyale WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO

" Maisha yana vingi vya kukukatisha tamaa. Kile kile kinachokufanya ujitume na kufanya kazi kwa bidii, ndicho hicho hich...
07/10/2021

" Maisha yana vingi vya kukukatisha tamaa. Kile kile kinachokufanya ujitume na kufanya kazi kwa bidii, ndicho hicho hicho kinaweza kukugeuka na kukukatisha tamaa usipokuwa mwangalifu. Muhimu ni kwamba mambo yanapokwenda mrama usikubali kusalimu amri. Usiwape nafasi 'washauri' wakuoneshe utaalam wao. Kuna watu wengi hutumia fursa hiyo kukumaliza hata k**a kwa haraka haraka unaweza kufikiri wanakufariji." TUNAISHI HALAFU TUNAISHIA MKUBWA MUNGU kisichofaa leo kitafaa kesho WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO

"Moja ya watu hatari katika maisha yako ni wale ambao wanaangukia kwenye kundi la “Silent Enemies”(Maadui wa kimyakimya ...
06/10/2021

"Moja ya watu hatari katika maisha yako ni wale ambao wanaangukia kwenye kundi la “Silent Enemies”(Maadui wa kimyakimya wanaojificha). Mara nyingi watu hawa hufanya kila mbinu za kuwa karibu na wewe ili wakufahamu kwa undani ili iwe rahisi kutumia taarifa zako kutimiza haja zao."
TUNAISHI HALAFU TUNAISHIA MKUBWA MUNGU muda ni rafiki mkubwa wa watu wema
WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO

Usizungumzie Watoto Wako Mbele ya Mgumba, Usiongelee Wazazi wako mbele ya Yatima, Usiongelee Mali zako Mbele ya Maskini,...
06/10/2021

Usizungumzie Watoto Wako Mbele ya Mgumba, Usiongelee Wazazi wako mbele ya Yatima, Usiongelee Mali zako Mbele ya Maskini, Usiongelee mke/ mume Wako Mbele ya Mtu Anaebadili makanisa Apate mwenza.....KUWA MAKINI NA MANENO YAKO UNAWEZA KUSABABISHA MAUMIVU MAKALI KWA WENGINE 🔥🙏

"Yusufu alimsaidia mtumishi wa farao gerezani na baadae mtumishi wa farao akamuunganisha yusufu na farao.fikiria jinsi m...
05/10/2021

"Yusufu alimsaidia mtumishi wa farao gerezani na baadae mtumishi wa farao akamuunganisha yusufu na farao.fikiria jinsi mke wa portiphar alijisikiaje aliposikia kwamba yusufu amekuwa gavana wa misri baada ya kumshtaki kwa uongo.ndugu waliomuuza yusufu mbali waliishia kulishwa na yeye. usipende kuwawazia mabaya maadui zako wanaweza kuwa watu watakao kusaidia kesho. Kumbuka kila wakati kuwa kesho ipo na kwa hakika itakuja " *TUNAISHI HALAFU TUNAISHIA MKUBWA MUNGU* hasara kuu katika maisha ni kile kinachokufa ndani yako ukiwa bado upo HAI *WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO*

"Ukiona mtu anakufanya uwe na furaha moyoni mwako haimaanishi yeye hana matatizo au ana furaha sana moyoni mwake,inaweze...
27/08/2021

"Ukiona mtu anakufanya uwe na furaha moyoni mwako haimaanishi yeye hana matatizo au ana furaha sana moyoni mwake,inawezekana yeye ndo ana huzuni zaidi moyoni mwake,Wapo watu ulijitoa kwa moyo wako wote ili kuwaepusha na hatari lakini mwisho wa siku wanakutenda na roho inakuuma sana usichoke kuwasaidia"
*TUNAISHI HALAFU TUNAISHIA MKUBWA MUNGU* Kukataliwa na wajinga ni ishara ya ukomavu *WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO*

"Binadamu makini ni yule anaefikiri mwisho wa Maamuzi yake,kabla ya kuamua anafanya upembuzi yakinifu juu ya maamuzi ana...
26/08/2021

"Binadamu makini ni yule anaefikiri mwisho wa Maamuzi yake,kabla ya kuamua anafanya upembuzi yakinifu juu ya maamuzi anayotaka kufanya, USIOGOPE KUJIFUNZA
Uwezi kuwa imara bila kupitia changamoto,yawezekana changamoto zako ndio mafunzo yako"
*TUNAISHI HALAFU TUNAISHIA MKUBWA MUNGU* Ngariba hatembei na kisu Ngariba anatembea na peni WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO

*KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA K**A UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI**1. Tamaa ya utajiri* fe...
24/08/2021

*KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA K**A UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI*

*1. Tamaa ya utajiri*
fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa bahati mbaya wengi wao sio waoaji bali ni wahuni tu na watu wa anasa na kula bata mjin.

*2. Dharau,*
maringo, kiburi na mashauzi yaani we kila mtu akikusogelea na kujaribu kuzungumza na wewe unaanza kumpandisha na kumshusha kisha una msonya. Wengi huishia kukupotezea wakijua either umewadharau au tayari una mtu wako ndio maana nyodo nyingi.

*3. Husali*
hakika lazima wahuni watapata nafasi kwako na kukuchezea mpaka uchakae k**a mtumba wa uvira. MWENYEZI MUNGU ndo anaetoa BARAKA ukimuomba hakika atakuepushia kuingia midomon mwa dubu na fisi wanaokuwa wakikuvizia na kuja k**a MALAIKA. Atakupa ufahamu wa kuwatambua na kuwashtukia mapema.

*4. Kuvaa nguo za ajabu ajabu k**a changudoa* Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! Unakuta binti unavaa k**a mcheza show za Casino yaani ukipita nguo yaonyesha kila kitu ukiinama ndio balaa kabisa yaani kimin kinafunuka kila kitu nje nje kwa style hiyo nani atakupeleka kwao?

*5. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni k**a mwali wa kibembe*
au kizaramo kwanza mnatutisha tu.

*6. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume,*
yani ukiguswa kidogo tu twende.

*7. Kuwa na picha karibia 500 Facebook,* Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara tumbo, mara mdomo,

*8. Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano kwenye Facebook* na kadhalika
nyinginezo hata ukienda haja basi lazima upost.

*9. Ni mtu wa maneno maneno*
yani we kila unachokiona unaongea na kuropoka ropoka tu hauna break! mwanamke gani?

*10. Huna mawazo ya malengo*
endelevu yani we kwenye kichwa chako kumejaa umbea tu sijui leo Wema Sepetu amefanya nini?

Deki nauza jumla bei 25000 kwa kila moja kwa bei ya jumla karibuni sana
04/08/2021

Deki nauza jumla bei 25000 kwa kila moja kwa bei ya jumla karibuni sana

27/05/2021

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prosper paul mally posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share