House of stara

House of stara WAUZAJI WA BIDHAA KUTOKA
CHINA NA DUBAI
BIDHAA ZETU NI ZENYE UBORA % 💯
TUNAUZA BIDHAA MBALIMBALI

17/02/2026
17/02/2026

16/02/2026

🔹NEW ABAYA DRESS🔹

Abaya dress zetu ni Maasha Allah👌
Full outfit;135,000/Tsh

Material yake double shiffon 👌

Cutting yake hadi wanene wanavaa
Size 56

Utapata na zawadi 1( hijab pin au hijab tape)

Tunafanya delivery dar es salaam na mikoani tunatuma kwa gharama za mteja📦🚛

Tunapatikana Mwenge
Soko la wamachinga
Kwa mawasiliano zaidi tupigie ⬇
0759 834 014

🔹NEW ABAYA DRESS🔹Abaya dress zetu ni Maasha Allah👌Full outfit;135000/TshMaterial yake ni double shiffon 👌Cutting yake ha...
16/02/2026

🔹NEW ABAYA DRESS🔹

Abaya dress zetu ni Maasha Allah👌
Full outfit;135000/Tsh

Material yake ni double shiffon 👌

Cutting yake hadi wanene wanavaa
Size 56

Utapata na zawadi 1( hijab pin au hijab tape)

Tunafanya delivery dar es salaam na mikoani tunatuma kwa gharama za mteja📦🚛

Tunapatikana Mwenge
Soko la wamachinga
Kwa mawasiliano zaidi tupigie ⬇
0759 834 014

Unavaa ukienda wapi??

16/02/2026

“Warembo wangu 🤍
Eid hii sitaki mtu abaki nyuma kwa sababu ya pesa ya mara moja.
Ndio maana nimeandaa Mpango Maalum wa Eid Abaya – unaweka kidogo kidogo kwa siku 25, mwisho wote mnakuja kuchukua abaya zenu siku moja.
Kuna chaguo tatu kulingana na uwezo wako:
Level ya kwanza – 2,000 kwa siku kwa siku 25.
Level ya pili – 4,000 kwa siku kwa siku 25.
Level ya tatu – 6,000 kwa siku kwa siku 25.

Kila level ina abaya zake kulingana na thamani yake.
Hakuna bahati nasibu.
Hakuna anayechukua mapema.
Wote tunamaliza pamoja, wote tunachukua tarehe moja.
Kila level ina nafasi 25 tu.

Kutakuwa na group maalum la WhatsApp kwa uwazi wa malipo kila siku.
Ukijiunga, unahakikisha Eid yako imepangwa bila presha 🤍
Nitumie neno ‘EID’ inbox nikuelekeze level unayotaka.”

Tupigie 0759 834 014 Au whatsap

✨ HOUSE OF STARA ✨Unatafuta luxury abaya, viatu na handbags za kipekee, zenye mvuto, class & ubora wa hali ya juu?Karibu...
02/02/2026

✨ HOUSE OF STARA ✨

Unatafuta luxury abaya, viatu na handbags za kipekee, zenye mvuto, class & ubora wa hali ya juu?
Karibu HOUSE OF STARA – mahali ambapo kila mwanamke anapewa nafasi ya kung’aa kwa mitindo ya kifahari!

👜 Tunauza: ✔️ Luxury Abaya,handbags za ofisini, outing, na matukio maalum
✔️ Mini bags, bosslady bags, slay in style bags na nyinginezo zenye muundo wa kipekee
✔️ Mitandio, viatu, urembo wa k**e

📍 Tupate Mwenge_Soko la wamachinga Coca-Cola road

💎 Kwa nini utuchague? • Bidhaa zenye ubora wa juu
• Bei nafuu na zinazoendana na hadhi yako
• Huduma ya mteja yenye upendo & uaminifu
• Designs zetu ni za kipekee, zenye mvuto wa kipekee unaovutia kila macho

👑 Slay in style. Be bold. Be classy. Be you – with HOUSE OF STARA

📲 Tupigie 0759 834 014

20/01/2026

NEW ARRIVALS 🔥

Mitandio ya shiffon

JUMLA 4000 kuanzia dozen 1

JUMLA 4500 kuanzia pcs 3

Rejareja 5000

Very Good quality

Mikubwa na milaini

Material shiffon

House of stara

Tunapatikana Mwenge soko la machinga barabara ya Coca-Cola
📞+255 759 834 014

Address

Mwenge _soko La Machinga Barabara Ya Coca-Cola
Dar Es Salaam

Telephone

+255759834014

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when House of stara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to House of stara:

Shortcuts

Share