08/07/2026
πΎ Ubora Unaokidhi Mahitaji Yako! πΎ
Karibu IGROW Investment β tunajihusisha na uuzaji wa nafaka mbalimbali kwa jumla na rejareja kwa ubora wa hali ya juu na bei rafiki.
Tunapatikana na:Mbezi Beach Jogoo
π½ Mahindi
π« Maharage
πΎ Ulezi
π₯ Mtama
πΏ Karanga
π« Mbaazi
π± Kunde
π₯ Njugu
πΎ Tetele
π± Soya
π« Choroko
πΎ Ngano
β
Bidhaa safi na zenye ubora
β
Bei za ushindani
β
Huduma ya haraka na ya kuaminika
π Wasiliana nasi leo: +255 791 448 576
IGROW Investment β Growing Together, Feeding the Nation. π±
Ulezi Soya Ngano Wholesale Retail Agribusiness Tanzania QualityProducts FoodSupply