herenipambe

herenipambe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from herenipambe, Shopping & retail, kongowe, Dar es Salaam.

30/04/2023
Victoria Sandwich cake nazo zipo ktka oda.-bei yake imechngamka kdgo ila ni tamu sana na ina ladha ya kipekeee mnoo.-kil...
01/04/2023

Victoria Sandwich cake nazo zipo ktka oda.
-bei yake imechngamka kdgo ila ni tamu sana na ina ladha ya kipekeee mnoo.
-kilo 1 utaipata kwa sh.20000 tu na kilo 2 utaipata kwa sh.35000.
-weka oda yako sasa na utaipata ndani ya siku 1
-nipigie 0717704556

Wapendwa tunakaribia kuingia katka mfungo wa Ramadan.-Karibuni sana iftar menu ndo k**a ilivo hapo juu.-Kila plate utaip...
22/03/2023

Wapendwa tunakaribia kuingia katka mfungo wa Ramadan.
-Karibuni sana iftar menu ndo k**a ilivo hapo juu.
-Kila plate utaipata kwa sh.7000 tu ambapo uji au chai inakuja bureee kwa kila plate.
Piga simu kuweka oda yako 0717704556.Kwa anaetaka kuweka oda ya mwezi mzima anakaribishwa na kuna punguzo kubwaaa la bei ya chakula kwa watakaolipia oda ya mwezi mzima.
-KARIBUNI SANA NA MUNGU ATUONGOZE🙏🏾🙏🏾🙏🏾

18/03/2023
Menu ya leo THURSDAYS-Wali -Maini rosti -Mbogamboga na matunda                            Menu hii kwa sh.6000 tu.Delive...
16/03/2023

Menu ya leo THURSDAYS
-Wali
-Maini rosti
-Mbogamboga na matunda Menu hii kwa sh.6000 tu.Delivery ipo popote ulipo kwa gharama yako mteja wangu.Napatikana mzinga stendii.

Plain cakes itazipata kwa sh.15000 tu kwa kilo moja.                                                                    ...
16/03/2023

Plain cakes itazipata kwa sh.15000 tu kwa kilo moja. -karibu sana napatikana mzinga kongowe karibu na shule ya Agape secondary.Nipigie 07170704556 .Delivery pia ipo.

Plain cakes utazipata kwa sh.15000 tu kwa kilo 1.Nusu kwa sh.8000 tu.Call me 0717704556
15/03/2023

Plain cakes utazipata kwa sh.15000 tu kwa kilo 1.Nusu kwa sh.8000 tu.Call me 0717704556

JIKOnaMES  WEEKLY MENU(menuzotesh.6000tuu)                         MONDAYS-Ndizi nyama(n**i)-Mbogamboga-Matunda Weka oda...
14/03/2023

JIKOnaMES WEEKLY MENU(menuzotesh.6000tuu)
MONDAYS
-Ndizi nyama(n**i)
-Mbogamboga
-Matunda
Weka oda yako mapema(siku 1 kabla)

TUESDAYS
-Wali n**i
-Mchuzi wa papa
-Mbogamboga
Weka oda yako mapema(siku 1 kabla)

WEDNESDAYS
-Ugali wa maziwa
-Nyama rosti
-Mbogamboga na matunda
Weka oda yako mapema(siku 1 kabla)

THURSDAYS
-Wali
-Maini rosti
-Mbogamboga na matunda
Weka oda yako mapema(siku 1 kabla)

FRIDAYS
-Makande N**i
-Nyama ya kukaanga
-Kachumbari
Weka oda yako mapema(siku 1 kabla)

SATURDAYS
-Ugali (dona)
-Mlenda
-Nyama choma
Weka oda yako mapema(siku 1 kabla)

-Zege na kuku robo utaipata kwa sh.5000 tuu.Piga simu kuweka oda yako 0717704556.Delivery ipo kwa wote maeneo karibu na ...
12/03/2023

-Zege na kuku robo utaipata kwa sh.5000 tuu.Piga simu kuweka oda yako 0717704556.Delivery ipo kwa wote maeneo karibu na mbagala

On menu.                                                           -fried rice,                                         ...
08/03/2023

On menu. -fried rice, -kuku rosti (robo), -tunda na mbogamboga. Utaipata kwa sh.8000 tu.Delivery ipo kwa bei nafuu popote ulipo

Address

Kongowe
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when herenipambe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share