15/02/2024
Hello wateja wetu wa Dukani.tz, Muda mrefu tumekuwa kimya sanaa na hatukutoa taarifa.
Hapa ninahabari moja kabambe kubwaaa...
kwa wale wateja wetu wa vitu vizuri, sasa ni muda wako wa kuchagua unataka kukalia nini au kwa wale wenye mikutano na kumbi za shughuli mbalimbali ni ,muda sahihi wa kuchagua wateja wenu wakae kwenye kiti cha namna gani wakiwa kwenye VIBE
Mambo mazuri hayataki haraka.
mzigo huu hapa chini, 👇👇finishing ya kwendaa...
product ya maana.
tunatengeneza kwa ODA.
Tafadhali k**a unahitaji kwa wingi, tunakukaribisha ofisini kwa mazungumzo zaidi.