Agiza Africa

Agiza Africa Agiza Africa is a comprehensive online marketplace platform in Tanzania focusing on Clean Energy solutions.

22/05/2024

Usiteseke tena kisa mgao wa umeme! Tumia Power Station kutoka Agiza Africa.

1. Ina uwezo wa kuhudumia vifaa vingi kwa wakati mmoja (taa💡,computer💻,simu📳,TV📺,king'amuzi📡,feni, friji) kwa masaa 13⏰️baada ya umeme kukatika

2. Unaweza kuichaji🔌 kwa umeme wa tanesco au wa solar🌞.

3. Ni Smart: Rahisi kutumia na unaweza kuona load na battery status

4. Inabebeka na kuhamishika popote(ofisini, nyumbani, saiti n.k)

5.Halina kelele k**a majeneleta ya mafuta

Bei:
510 Watts - 950,000/=
1021 Watts- 1,300,000/=
2042 Watts- 2,300,000/=

Delivery ni bure mikoa yote

📞 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0676 255 678

Free Delivery✈️📦 Mikoa Yote Tanzania🇹🇿BEI ZA SOLAR PANEL:170 Watts 🏷️ 250,000/= 550 Watts 🏷️550,000/=BEI ZA POWER STATIO...
18/05/2024

Free Delivery✈️📦 Mikoa Yote Tanzania🇹🇿

BEI ZA SOLAR PANEL:

170 Watts 🏷️ 250,000/=
550 Watts 🏷️550,000/=

BEI ZA POWER STATION:

Power Station 510 Watts tunauza 950,000/=
Power Station 1021 Watts tunauza 1,300,000/=
Power Station 2042 Watts tunauza 2,300,000/=

Tumia Power station ili kuwa na umeme wa uhakika kipindi cha jua hafifu🌦️

Inakuja na warranty ya miaka mitano.

JINSI YA KUWEKA ORDER:
Wasiliana nasi kupitia 0676255678 au fika ofisi zetu zilizopo Mbezi Beach, Dareslaam.

JINSI YA KUNUNUA KUPITIA APP YA AGIZA AFRICA:
Ingia Play store au App store search "Agiza Africa" download App kisha jisajili. Utasearch neno "Power Station" utachagua model halafu itakupa option ya kulipia.

Utapokea simu kutoka kwa mtoa huduma wa Agiza Africa mala tu baada tu kukamilisha order yako.

17/05/2024

Sahau kabisa tatizo la kukosa umeme ofisini na nyumbani. Tumia Smart Power Station kutoka Agiza Africa kwa bei nafuu.

1. Ina uwezo wa kuhudumia vifaa vingi kwa wakati mmoja (taa💡,computer💻,simu📳,TV📺,king'amuzi📡,feni, friji) kwa masaa 17⏰️baada ya umeme kukatika

2. Unaweza kuichaji🔌 kwa umeme wa tanesco au wa solar🌞.

3. Ni Smart: Rahisi kutumia na unaweza kuona load na battery status

4. Inabebeka na kuhamishika popote

Bei:
510 Watts - 950,000/=
1021 Watts- 1,300,000/=
2042 Watts- 2,300,000/=

Jinsi ya kununua:
Ingia Play store au App store download App inaitwa "Agiza Africa" link ipo kwenye bio, Jisajili kisha search "Marstek Power Station", kisha weka order yako.

Utapokea simu kutoka kwa mtoa huduma wetu pindi tu utakapokua umekamilisha order yako kupitia Agiza Africa App.

📞 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0676 255 678

Mashine ya kunyolea ya kuchaji ya Oraimo na nyingine nyingi zinapatikana kwenye application ya Agiza Africa. Download ap...
16/11/2023

Mashine ya kunyolea ya kuchaji ya Oraimo na nyingine nyingi zinapatikana kwenye application ya Agiza Africa.

Download application ya Agiza Africa uendelee kufurahia huduma ya Free Delivery popote ulipo Tanzania.

Wasiliana nasi kupitia namba yetu ya huduma kwa wateja ambayo ni 0676 255 678

Jagi bora la umeme la Oraimo! Free Delivery kwa mikoa yote Tanzania🇹🇿Dowload application ya Agiza Africa kununua jagi hi...
30/09/2023

Jagi bora la umeme la Oraimo! Free Delivery kwa mikoa yote Tanzania🇹🇿

Dowload application ya Agiza Africa kununua jagi hili bora linalokuja na guarantee ya mwaka mmoja! Wasiliana nasi kupitia 0676 255 678

I am loving Agiza Africa! It's user-friendly and has everything I need to run my online store smoothly. Appreciation to the team for making such a fantastic platform./

Vitabu vyote vya Mkuki na Nyota sasa vinapatikana kwenye application ya Agiza Africa. Delivery ni BURE popote Tanzania.D...
16/09/2023

Vitabu vyote vya Mkuki na Nyota sasa vinapatikana kwenye application ya Agiza Africa. Delivery ni BURE popote Tanzania.

Download application ya simu ya Android au iOS kupitia https://onelink.to/fzcq3v

Search Agiza Africa kupitia App store au play store download uanze kunufaika na huduma ya Free Delivery popote ulipo Tanzania.

Kwa wakazi wa Daressalaam na vitongoji vyake unapata mzigo wako ndani ya dakika 15. Wateja wa mikoani order huchukua kua...
15/09/2023

Kwa wakazi wa Daressalaam na vitongoji vyake unapata mzigo wako ndani ya dakika 15. Wateja wa mikoani order huchukua kuanzia siku moja mpaka siku 5 za kazi hadi mzigo kukufikia.

Zingatia kuwa hakuna kulipia delivery fee ukinunua bidhaa yoyote kupitia application ya Agiza Africa.

Cha kufanya ingia Play store au App store andika "Agiza Africa" download application uendelee kufurahia manunuzi ya bidhaa mbalimbali

Jipatie jezi original kupitia application ya Agiza Africa uletewe mpaka mlangoni kwako pasipo kulipia gharama za usafiri...
15/09/2023

Jipatie jezi original kupitia application ya Agiza Africa uletewe mpaka mlangoni kwako pasipo kulipia gharama za usafiri.

Ingia Play store au App store andika "Agiza Africa" pakua application usjisajili ili kufurahia Free Delivery shopping popote ulipo Tanzania.

SOKO KUU LA KARIAKOO NDANI YA SIMU YAKO!Kwa kipindi kirefu watanzania waishio Daressalaam pekee ndio wamekua wakinufaika...
14/09/2023

SOKO KUU LA KARIAKOO NDANI YA SIMU YAKO!

Kwa kipindi kirefu watanzania waishio Daressalaam pekee ndio wamekua wakinufaika zaidi na soko kuu la Kariakoo ambalo ndio soko kubwa zaidi nchini Tanzania.

Kuanzia sasa watanzania wote bila kujali mikoa wanayoishi wataweza kufanya manunuzi moja kwa moja kutoka soko kuu la Kariakoo kupitia application mpya ya simu iitwayo Agiza Africa.

Maduka zaidi ya 1000 ndani ya soko kuu la kariakoo tayari yameunganishwa na application ya Agiza Africa na tayari yameshaanza kutoa huduma kupitia application hii ambayo imekuja kuwa suluhisho kwa wafanyabiashara na wanunuzi nchini.

Watumiaji wote wa app ya Agiza Africa watapelekewa bidhaa zao moja kwa moja kutoka Kariakoo mpaka sehemu zao za makazi popote Tanzania bila kulipia gharama za delivery.

Ukipata taarifa hii mfahamishe na mwenzako! Usikubali tena kulipa gharama za usafiri ununuapo bidhaa mtandaoni. Na usikubali tena kutapeliwa.

Download application kupitia https://onelink.to/fzcq3v jisajili na uanze kuagiza bidhaa leo.

Application ya Agiza Africa inapatikana kwa watumiaji wote wa Android na iOS.

I am loving Agiza Africa! It's user-friendly and has everything I need to run my online store smoothly. Appreciation to the team for making such a fantastic platform./

Address

Mbezi Beach, ELCT Building 2nd Floor
Dar Es Salaam
24421

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 10:00 - 13:00

Telephone

+255676255678

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agiza Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share