Huduma ya Vitabu

Huduma ya Vitabu MWANA-ADAM NI NANI NAYE NI NINI MUNGU AMKOMBOE
https://books2read.com/u/bpyA9g

The Resurrection & Raptureby Shannel S SilwimbaThe Resurrection & Rapture is affirmation of salvation and the love YHWH ...
16/09/2024

The Resurrection & Rapture

by Shannel S Silwimba

The Resurrection & Rapture is affirmation of salvation and the love YHWH to mankind.

Only through either resurrection or rapture, man was destined to depart from this material world, and acquire the citizenship of the spiritual world and live forever. To Christianity, this is leaving worldly body and dressing into the glorified one.

Proving this theological understanding, we will indulge into various eschatological theories. We will look into hidden secrets of resurrection and the rapture; within the Hebrew wedding, Noakh ark, and what is hidden in Yisrael 7 promised festivals [Pesakh (Passover), Matzah (Unleavened bread), Bikurim (Firstfruit), Shavuot (Pentecost), Teruah (Trumpets), Kippur/Kfar (Atonement), Sukkot (Tabernacles)].

Very careful we will analyze types of resurrections: resurrection of the Church, resurrections of Eliyah and either Hanok or Mosheh, resurrection during the great tribulations, and resurrection after millennial.

Then we will embark on analysis of the rapture: pre-tribulations rapture, mid-tribulations rapture, post-tribulations rapture, and post-millennial rapture.

And finally we will address the issues of when is resurrection and the rapture.

Who has heard of such a thing? Who has seen such things? Shall a land be born in one day? Or shall a nation be brought f...
14/09/2024

Who has heard of such a thing? Who has seen such things? Shall a land be born in one day? Or shall a nation be brought forth in a moment? For as soon as Zion was in labor, she brought forth her children - Isaiah 66:8 🇮🇱

Uumbaji wa Mtuby Shannel S SilwimbaKitabu Uumbaji wa Mtu; kinaanzia na YAHWEH Katika Milele kuchambua yapi na vipi vilip...
13/09/2024

Uumbaji wa Mtu

by Shannel S Silwimba

Kitabu Uumbaji wa Mtu; kinaanzia na YAHWEH Katika Milele kuchambua yapi na vipi vilipelekea kuumbwa kwa ulimwengu, na hatimaye pawepo mahali-wakati ambapo mtu angeweza umbwa na kuishi humo. Ndipo tunaonyeshwa Kuumbwa kwa Roho na Nafsi ya Mtu katika milele, kabla kabisa ya Kufanywa kwa Mwili Mme na Mke, kwa minajili ya mtu katika hali ya roho-nafsi ahifadhiwe humo.
Mpango wa Ukombozi unaonyeshwa k**a matokeo ya kuhakikisha, uhitaji wa Mungu YAHWEH kuwa na familia unakamilika. Na hili lilijulikana na kupangwa kabla ya uanguko wa mtu duniani.
Hivyo tokea ufahamu huu, tunachungua kwa kina Tafsiri na Asili ya Uasi na Dhambi, na hususani Kudanganywa kwa Havaa (Eva) na Uafiki wa Adam. Kuhitimisha haya yote tunafanyia uhakiki Dhana ya Dhambi ya Asili. Pamoja na haya ni mengi mengine ya kushangaza na kustaajabisha kuhusu Uumbaji wa Mtu. Katika haya tunajibu sababu ya uwepo wako hapa duniani, na maalumu kabisa ni yapi ndiyo wajibu na majukumu yako k**a mtu. Na bila kupoteza muda, tunafanyia mapitio nadharia kadhaa za uumbaji, kuthibitisha kweli ya maandiko matakatifu. Kitabu chafaa sana kwa Mafundisho ya kitaaluma ... 🙏

Uumbaji wa Mtuby Shannel S SilwimbaKitabu Uumbaji wa Mtu; kinaanzia na YAHWEH Katika Milele kuchambua yapi na vipi vilip...
04/09/2024

Uumbaji wa Mtu

by Shannel S Silwimba

Kitabu Uumbaji wa Mtu; kinaanzia na YAHWEH Katika Milele kuchambua yapi na vipi vilipelekea kuumbwa kwa ulimwengu, na hatimaye pawepo mahali-wakati ambapo mtu angeweza umbwa na kuishi humo.

Ndipo tunaonyeshwa Kuumbwa kwa Roho na Nafsi ya Mtu katika milele, kabla kabisa ya Kufanywa kwa Mwili Mme na Mke, kwa minajili ya mtu katika hali ya roho-nafsi ahifadhiwe humo.

Mpango wa Ukombozi unaonyeshwa k**a matokeo ya kuhakikisha, uhitaji wa Mungu YAHWEH kuwa na familia unakamilika. Na hili lilijulikana na kupangwa kabla ya uanguko wa mtu duniani.

Hivyo tokea ufahamu huu, tunachungua kwa kina Tafsiri na Asili ya Uasi na Dhambi, na hususani Kudanganywa kwa Havaa (Eva) na Uafiki wa Adam.

Kuhitimisha haya yote tunafanyia uhakiki Dhana ya Dhambi ya Asili. Pamoja na haya ni mengi mengine ya kushangaza na kustaajabisha kuhusu Uumbaji wa Mtu.

Katika haya tunajibu sababu ya uwepo wako hapa duniani, na maalumu kabisa ni yapi ndiyo wajibu na majukumu yako k**a mtu.

Na bila kupoteza muda, tunafanyia mapitio nadharia kadhaa za uumbaji, kuthibitisha kweli ya maandiko matakatifu. Kitabu chafaa sana kwa Mafundisho ya kitaaluma. 😇

I’m excited to announce my book, My Book Titled: -,1. Milenia ya Kristo2. Historia & Maisha ya Yeshua Kristo3. Jinsi ya ...
13/06/2024

I’m excited to announce my book, My Book Titled: -,
1. Milenia ya Kristo
2. Historia & Maisha ya Yeshua Kristo
3. Jinsi ya Kusali & Kuongea na YAHWEH
4. Utatu Mtakatifu
5. Mafundisho ya Utajiri
6. Mafundisho ya Ndoa
7. Ufufuo & Uchukuo
8. Ujio wa Pili wa Yeshua Kristo
9. Yisrael
10. Creation of Man
11. The Doctrine of Prosperity
12. The Book of Death
13. Siri ya Kifo
14. The History & Life of Adonai Yeshua
15. The Resurrection & Rapture
will be promoted on for the month of July as part of their Annual Summer/Winter Sale! Be sure to follow me for more updates and links to the promotion for my books and many more!

Kitabu hiki Historia & Maisha ya Yesu Kristo; ni somo ndani ya kitabu MWANADAMU NI NANI NAYE NI NINI MUNGU AMKOMBOE (MNN...
29/05/2024

Kitabu hiki Historia & Maisha ya Yesu Kristo; ni somo ndani ya kitabu MWANADAMU NI NANI NAYE NI NINI MUNGU AMKOMBOE (MNNNMA).

MNNNMA ni kiberiti kinacho washa moto wa mabadaliko makubwa, na k**a siyo mapinduzi ndani ya kanisa lote linalo zungumza Kiswahili.

Katika hiki tunaona mtizamo mpya wa theolojia, changamoto katika tafsiri za biblia ndani ya lugha ya Kiswahili, na jipya zaidi ni uhamisho wa waumini toka udini kuelekea mahusiano na Mungu YHWH.

Kitabu kinachukulia biblia yote kuwa fumbo la picha, na hivyo kutumia mstari wa wakati uendao mbele katika mduara, kuonyesha mwanzo hadi mwisho wa kila kitu.

Na k**a hili halitoshi, kinaweka dai tatanishi kwamba, biblia yote iliandikwa kwa ajili ya ukombozi wa Adonai Yeshua Kristo, na kwamba yote humo pamoja na maisha yako yote, ni kwa ajili ya Mungu YHWH kuwa na familia yake tu.

Kitabu kinacho dai tete la kuifunua kweli iliyo moja, na ya pekee mahali pote, wakati wote, na kwa vizazi vyote duniani.

Na katika kunogesha uelewa; kinapinga mafundisho yaliyo zoeleka kwamba, mtu ataishi Mbinguni na Mungu milele, kwa kudai maandiko yote yanasema, ni Mungu YHWH anaye hamia katika Dunia mpya ndani ya Yerushalem Mpya kuishi humo milele na watoto wake watakatifu.

Kitabu kinajikita katika malumbano ya kidini na sayansi, na kuitumia teknolojia ya sasa kuelezea dhana nyingi za kiimani.

Na kwa kila funzo la kinadharia unalo pewa, pia huonyeshwa jinsi ya kutenda hilo uhesabiwe mstahiki wa ahadi hiyo ya Mungu.

Na katika ujasiri mkuu kinaweka dai ya kuwa, hicho ni ujumbe halisi wa Mungu YHWH kwa kanisa lake tukufu linalo zungumza Kiswahili.

Ni kitabu ambacho kila anayefunza dini hawezi kukikosa, na kwa kila mtu anaye taka kujua kweli ya mambo ya kiungu, hiki ni kitabu muhimu zaidi sokoni kwa sasa. Tunakiona kutawala malumbano katika kumbi za mihadhara, mimbari za masinagogi, na hata madarasani kufunzwapo dini.

Ni kitabu ambacho kitafungua jicho la kila muumini, kwani katika lugha ya Kiswahili hakipo kinacho zama katika kina chake hiki.

Kwa kweli uhamsho wa kanisa linalo zungumza Kiswahili sasa umefika wakati wake!

Bei ni $4.99 USD
ISBN-13: 9798215645512
Lugha : Kiswahili
Maneno: 32,352
Published: Feb 5, 2023

The History & Life of Yeshua Christby Shannel S SilwimbaThis History & Life of Adonai Yeshua Christ is part of a larger ...
25/05/2024

The History & Life of Yeshua Christ

by Shannel S Silwimba

This History & Life of Adonai Yeshua Christ is part of a larger work that was originally written for the Swahili-speaking church.

It explores the history and life of Adonai Yeshua Christ in a way and manner which is uncommon to the modern Church. We retain actual names of individuals and places vs anglicized ones.

We look at Jesus (Yeshua) prior to his birth on Earth. We spent sometimes on this eternity, before we deploy scriptures to show all that related to him.

Therefore, through scriptures, history books, and forbidden books, we look at him as a historical man, his death at the cross, resurrection, ascension, and his second coming. We skillfully deal on areas of history, theology, eschatology, and even what the first church shares among themselves regarding him.

In spite of all these being said here, it's still too shallow to entail what this book is comprised of. This book is capable of touching your soul, the way is yet to be done unto you.
Come and see …

$4.99
Published On: May 24, 2024

This Book of Death is part of a larger work that originally was written for the Swahili-speaking church. It explores the...
05/04/2024

This Book of Death is part of a larger work that originally was written for the Swahili-speaking church. It explores the notion of death that is not the end of everything. And to the surprise of many as commonly known, that death is an event which clinically caused by the cessation of brain function, in here we will show you death is a living spirit.
We will challenge in detail the doctrine of purgatory. And show you, that death is not predestined. You will be able to teach others: what is death, and where it comes from. Then we will reveal what is the set lifespan for the human being.

Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. ...
22/03/2024

Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili.

Inachungua kwa kina dhana nzima ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na k**a vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai.

Tutaifanyia uchochezi itikadi ya toharani. Pia tutakuonyesha kifo cha mtu hakijapangwa juu yake. Wakati ukiwa unakazana na haya, utajikuta ukipokea uwezo wa kufunza wenzi wako: kifo ni nini and wapi kilitokea.

Pia utapokea ujuzi wa kimaandiko kujibu k**a Mbinguni, Kuzimu na Gehena (Jehanamu) kweli kupo au lah. Ndipo sasa tutakufunulia upi ni urefu wa maisha aliyo pangiwa mtu hapa duniani.

Ufupisho huu ni finyu sana, na umeacha mambo mengi tatanishi na tete juu ya suala zima la kifo.

Do you think the Gospel of Prosperty is evil? ... come and see ...
02/03/2024

Do you think the Gospel of Prosperty is evil? ... come and see ...

Our latest book is now available online, all market places are shown here below ...
27/01/2024

Our latest book is now available online, all market places are shown here below ...

Merry Xmass or happy holidays? Why other holidays has name except this one 🤔
26/12/2023

Merry Xmass or happy holidays? Why other holidays has name except this one 🤔

Texas school board member Cameron Bryan shares his unique approach to defending Christmas on ‘Fox & Friends Weekend.’ Subscribe to Fox News! https:/...

Address

Dar Es Salaam
POBOX1699

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 12:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Huduma ya Vitabu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category