Daz G Enterprises

Daz G Enterprises 1

KOKI ZA MAJIKO YA OIL.Tumekuletea Koki za Majiko ya OilTunauza Jumla na RejarejaKaribuni sana0759 461603 Tupigie
31/07/2026

KOKI ZA MAJIKO YA OIL.
Tumekuletea Koki za Majiko ya Oil
Tunauza Jumla na Rejareja

Karibuni sana

0759 461603 Tupigie

04/06/2026

Habari..
Daz G ENTREPRISE
Tunakuletea WiFi repeater au WiFi extender ni Kifaa kinachotumika kuongeza Coverage au kupanua signal ya WiFi ili ifike maeneo ambayo signal ya router yako haifiki vizuri.

Mfano..
Ukikaa sebuleni WiFi iko poa, lakini chumbani hakuna signal: ➡️ Ukiweka repeater katikati
➡️ Signal itaongezeka hadi chumbani
Faida zake
1. Huongeza coverage ya WiFi nyumbani au ofisini
2. Ni rahisi kufunga unaweka tu kwenye umeme (plug and Play)
3. Haina gharama kubwa sana za kufanya Instalation.
4. Kwa wanaofanya biashara ya WiFi Ukitumia hii Utauzia Mtaa mzima
Bei ni 45,000 kwa 35,000
Wahi sasa
Tupigie au Whatsapp kwa
0759 461603 au 0744 600 010

27/05/2026

JIKO SMART LA MKAA..💥💥
-Bana Matumizi yako ya Mkaa kwa 80%
-Epuka moshi unaoweza kuharibu kuta za nyumba yako.
-Okoa muda wa unaopotea kwa kukoleza mkaa unapotumia majiko mengine.
-Pika haraka na kwa usalama mkubwa..💯
Bei ni 95,000 na 85,000💸

TUPO KIMARA MWISHO na URAFIKI 📍
Dar es Salaam Tunafanya delivery🏍
Mikoani Tunatuma✅

Kwa mawasiliano.
Tupigie au Whatsapp 📞
0759461603

27/05/2026

Karibuni sana...
Kwa watumiaji na Waltengenezaji Wa Majiko ya Oil.
Tumekuletea Blower Fan pamoja na Regulator zake.
Jipatie kwa Bei Poa sana Jumla na Rejareja..
Tupo kimara Mwisho
Tupigie 0759461603

Call now to connect with business.

Karibuni sana...Kwa watumiaji na Waltengenezaji Wa Majiko ya Oil.Tumekuletea Blower Fan pamoja na Regulator zake.Jipatie...
27/05/2026

Karibuni sana...
Kwa watumiaji na Waltengenezaji Wa Majiko ya Oil.
Tumekuletea Blower Fan pamoja na Regulator zake.
Jipatie kwa Bei Poa sana Jumla na Rejareja..
Tupo kimara Mwisho
Tupigie 0759461603

Habari..Daz G ENTREPRISE Tunakuletea WiFi repeater au WiFi extender ni kifaa kinachotumika kuongeza au kupanua signal ya...
03/05/2026

Habari..
Daz G ENTREPRISE
Tunakuletea WiFi repeater au WiFi extender ni kifaa kinachotumika kuongeza au kupanua signal ya WiFi ili ifike maeneo ambayo signal ya router yako haifiki vizuri.

Mfano rahisi
Ukikaa sebuleni WiFi iko poa, lakini chumbani hakuna signal: ➡️ Ukiweka repeater katikati
➡️ Signal itaongezeka hadi chumbani
Faida zake
1. Huongeza coverage ya WiFi nyumbani au ofisini
2. Ni rahisi kufunga (plug tu kwenye umeme)
3. Haina gharama kubwa sana
4. Kwa wanaofanya biashara ya WiFi Ukitumia hii Utauzia Mtaa mzima
Bei ni 65,000 kwa 55,000
Wahi sasa
Tupigie au Whatsapp kwa
0759 461603 au 0744 600 010 Gidion Abraham Tz

Address

Kimara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daz G Enterprises posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share