Pendeza harusini

Pendeza harusini PENDEZA Leo ni aqdi yako
Kwa kanzu kali za kisasa kwa ajili ya harusi, bungeni, ofisini, maulidini,

Mashuka Mawili kitambaa Quality nzuri Sanaa kutoka Dubai na foronya 4 nzito elfu 45 tu
27/03/2020

Mashuka Mawili kitambaa Quality nzuri Sanaa kutoka Dubai na foronya 4 nzito elfu 45 tu

Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Jipatie Kanzu kali Sana Quality ya Juu kabisa tena na kofia yake kwa Bei Poa  ya 150...
29/02/2020

Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Jipatie Kanzu kali Sana Quality ya Juu kabisa tena na kofia yake kwa Bei Poa ya 150,000/. Hizi zinakuja kwa Oda tu Unalipia nusu kanzu ikifika unamalizia Karibuni Sana. Unaweza kutupigia 0624 067278 kwa maelezo zaidi

Something Good Coming soon..
28/01/2020

Something Good Coming soon..

Yemen style!
23/01/2019

Yemen style!

Na iwe ndoa ya Kheri kwako in shaa Allah!Cc:
25/12/2018

Na iwe ndoa ya Kheri kwako in shaa Allah!
Cc:

Allah awajaalie maisha mema katika ndoa yenu mlofunga bwana Suleiman Kejo na bi Aisha Mahmood.Kwa mahitaji ya mapambo ya...
08/01/2018

Allah awajaalie maisha mema katika ndoa yenu mlofunga bwana Suleiman Kejo na bi Aisha Mahmood.

Kwa mahitaji ya mapambo ya bwanaharusi piga 0624 067278

Tunakutakia kila la kheri Gardner na mkeo kwenye safari yenu ya maisha ya ndoa mlioianza.Tunakushukuru pia kutuamini kwa...
04/12/2017

Tunakutakia kila la kheri Gardner na mkeo kwenye safari yenu ya maisha ya ndoa mlioianza.
Tunakushukuru pia kutuamini kwa kukuvisha kilemba na agal.

Ukitaka kupendeza piga 0624 067278

Ni sunnah  kuvaa  kanzu  nyeupe  wakati  wa  kufunga  ndoa, ni  sunnah kupaka  wanja  siku  ya ndoa, ni sunnah  kuoa  si...
31/10/2017

Ni sunnah kuvaa kanzu nyeupe wakati wa kufunga ndoa, ni sunnah kupaka wanja siku ya ndoa, ni sunnah kuoa siku tukufu ya ijumaa, ni sunnah kunyweshana maziwa fresh na mkeo mara tu baada ya kumuoa, ni sunnah pia kupendeza wakati unaenda kuoa.

Njoo upendeze kwetu 0624 067278

Address

Dar-es-salaam
Dar Es Salaam
255

Telephone

0754074409

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pendeza harusini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share