UK_cosmetic Jumla tuu

UK_cosmetic Jumla tuu Tunauza orginal bidhaaa za afya na urembo (skincare and cosmetic products) kwa bei ya jumla. UKweli,. tupo morrocco Square dar

28/06/2026

Tunafanya wax. Bila maumivu ha ha ha ha .. wax ambayo haiumi chanaaaaaaaaaaa.

Fanya booking yako. Bei zetu kuanzia 45k tuuuuu.

Kwa maelezo zaidi upigie simu namba +255748914221

27/06/2026

Tunatoa visunzua bila kuacha alama kabisa.

Tuna clinic bora kabisa na ya kisasa

upigie simu namba +255748914221

25/06/2026

Microneddling is the best ant aging treatment. Zingine zinafuaata

25/06/2026

Be positove first. Njoo ukiwa chanya then utapata matokeo chanya. Anza kwanza kuona umepona. Ukiwa positive na sisi ukatukuta tupo positive basi rahisi sana kuona.

25/06/2026

HAPA NIKIWA NA RAFIKI YANGU KIPENZI , PAMOJA NA MENTOR WANGU TUKISHAURIANA NA KU KUJIFUNZA SOLUTION MPYA ZA MESOTHERAPY. Ukiwa unafanya microneddling hakikisha ngozi ni nzito. Usitumie vipako/kibomu maana hufanya ngozi kuwa nyembamba.

08/06/2026

KATAA UZEEE JAMANI UMRI UMRI.

UANZE KUFANYA TREATMENTS MAPEMA.

USISUNIRIE TATIZO LIANZE NDO UJE. HAPANA. KUZUIA NI RAHISI KULIKO KUTIBU.

KWA MAELEZO ZAIDI KUUSU AINA YA TTEATMENT INAYOKUFAA NA ELIMU ZAIDI.

TUPIGIE SIMU/TEXT/WHAATUP
255748914221

Popote ulipo, tupo

08/06/2026

SEMA YATOSHA SASA. CLINIC YETU YA NGOZI IMEKULETEA JIBU LA MAOMBI YAKO.

MADOA YA MWILINI SASA TIBA TUNAYO

1. MGONGONI
2. CHINI YA KWAPA
3.MIKONONI
4.MAPAJANI
5.MIGUUNI
6. TUMBONI
7.SHINGONI
8.MAKALIONI
9.KIFUANI.

TUNA TIBA KWA WANAWAKE NA WANAUME.

TUNAKUTIBU BILA KUKUCHUBUA AU KUKUONGEZEA RANGI.

TUPIGIE SIMU KWA MAELEZO ZAIDI /WHAT/TEXT +255748914221

DODOMA, uko tayari Sisi k**a Afrikaglow tunakuja kwako tarehe 1 & 2 kukuletea huduma za urembo wa hali ya juu zitakazoku...
30/04/2026

DODOMA, uko tayari

Sisi k**a Afrikaglow tunakuja kwako tarehe 1 & 2 kukuletea huduma za urembo wa hali ya juu zitakazokuacha uking’aa kuliko kawaida

Hii sio huduma tu… ni experience ya kukuboost confidence na kuifanya ngozi yako iongee yenyewe

Nafasi ni chache book mapema usipitwe!

Dodoma ni kesho tuko hapo Usipange kukosa
30/04/2026

Dodoma ni kesho tuko hapo
Usipange kukosa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UK_cosmetic Jumla tuu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share