29/05/2026
✨ Pambana na chunusi kwa confidence ukitumia Portia M Marula Set 💚
✔ Face Wash – husafisha mafuta na uchafu usoni bila kukausha ngozi
✔ Skin Toner – husaidia kupunguza mafuta mengi usoni na kuziba pores
✔ Serum – husaidia kupunguza chunusi na makovu ya chunusi
✔ HyaluraGlow Serum – huongeza unyevu na kufanya ngozi iwe smooth & glowing ✨
💚 Inasaidia:
• Kupunguza chunusi
• Kupunguza black spots & acne marks
• Kuifanya ngozi iwe laini na yenye afya
• Kurefresh na kuipa glow ya asili