Madam suppliments

Madam suppliments Drop your favorites

πŸ’ͺ Fuel Your Best Self! πŸ’₯
Whether you're hitting the gym, tackling your workday, or focusing on your health goals, the right supplements can make all the difference. πŸ”₯
What’s your go-to supplement for staying at the top of your game?

05/09/2026

✨ Healthy living meets the corporate world! ✨
Today, Madam Supplements is live at the Vodacom Corporate Event at Lugalo Golf Course β€” bringing premium, genuine wellness solutions closer to professionals who understand that success starts with taking care of yourself. πŸ’š

From daily wellness to targeted nutritional support, we’re here to help you feel better, perform better and live better.

πŸ“ Lugalo Golf Course
🀝 Corporate Wellness | Premium Supplements | Expert Guidance
πŸ’š Madam Supplements β€” Your Health, Our Priority.

Wellness HealthyLiving PremiumSupplements

02/09/2026

Ujumbe umefika kwa wazazi wote!

Malezi ya sasa yanahitaji watoto wawe na akili iliyochangamka na utayari wa kujifunza. Virutubisho vya β€˜Focus’ vimetengenezwa maalum kusaidia afya ya ubongo wa mtoto, kuongeza kumbukumbu, na kumfanya awe β€˜smart’ darasani na nyumbani.

🎁 Badilisha aina ya zawadi unazompa mwanao; mpe kitu kitakachomsaidia kwenye elimu yake!
πŸ“ Karibuni Madam Supplements. Tuma neno FOCUS DM tukuhudumie fasta!

✨ HELLO SEPTEMBER ✨A new month is a beautiful reminder that there is always room for a fresh start, renewed hope, and be...
01/09/2026

✨ HELLO SEPTEMBER ✨
A new month is a beautiful reminder that there is always room for a fresh start, renewed hope, and better days. 🌿

May September bring you good health, peace of mind, joy, answered prayers, and countless reasons to smile. May you have the strength to keep choosing yourself, your wellness, and the life you deserve. 🀍

At Madam Supplements, we’re grateful to have you on this journey with us. Thank you for trusting us with a part of your wellness journey. Your health matters to us, and we’re honoured to serve you. πŸ’š

New month. New energy. A greater you.
Here’s to living well and thriving daily. 🌿✨

Happy New Month from Madam Supplements. πŸ’š

30/08/2026

WE DON’T JUST SELL SUPPLEMENTS β€” WE BUILD KNOWLEDGE. 🀍

At Madam Supplements, we believe that exceptional customer care starts with a knowledgeable, passionate and continuously growing team.

Behind every recommendation, every conversation and every customer we serve is a commitment to learning, teamwork and excellence.

Because when our team grows, our customers experience better service.

✨ Learn. Grow. Serve Better.
Location
πŸ“ Dar Sinza kwa remi
πŸ“ Arusha jengo la Ottu
πŸ“ Dodoma uhindini
☎️ 0656325616

Madam Supplements
Your trusted wellness partner.

HealthAndWellness ExcellenceInService

Fikiria ile hisia ya kuamka asubuhi,ukijitazama kwenye kioo na kuona ngozi yenye nuru, nyororo na inayovutia bila hata k...
29/08/2026

Fikiria ile hisia ya kuamka asubuhi,ukijitazama kwenye kioo na kuona ngozi yenye nuru, nyororo na inayovutia bila hata kupaka makeup. Haloooo πŸ€—

Ndiyo, huu ndio muonekano unaostahili kuwa nao! Lakini kwa sasa, unapoteza hela nyingi sana kwenye cream na losheni ambazo zinatibu tu kwa nje.

Hii ni sawa na kumwagia maji majani ya mti uliokatwa mizizi unachoma pesa zako huku chanzo kikuu kikizidi kukauka maboss zangu..🫣

Sayansi ya urembo wa uhakika iko hivi: Ngozi inayoonekana ya kitajiri inajengwa na Collagen. Hii ni protini ya asili inayofanya ngozi ivutike, ishik**ane na kuwa na ujana.

Ukosefu wa Collagen ndio chanzo cha ngozi kulegea na kuzeeka mapema.
Hapa ndipo unapofanya maamuzi ya kijanja.

NeoCell Liquid Collagen sio anasa k**a wengi wanavyodhani, ni uwekezaji unaolipa mara dufu kwenye muonekano wako.Inakupa ile peptidi moja kwa moja kwenye mfumo wako wa damu na kujenga upya seli za ngozi yako kutoka ndani.

Inakurudishia ile glowing ya kitajiri na kurudisha ujasiri wa kiwango cha juu. Utajisikia vizuri, utaonekana wa gharama, na kila mtu atatamani kujua siri yako. Hela yako inaenda kuonekana kwenye ubora wa ngozi yako!

Acha kutesa ngozi yako na kupoteza hela kwenye vitu cheap na havina quality. πŸ™ŒπŸ½
Chukua maamuzi yanayokupa matokeo ya uhakika leo kutoka kwa madam_supplements | virutubisho | vitamins πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tuma neno β€œUJANA” WhatsApp
Piga/WhatsApp ( 065 632 5616 )ujipatie chupa yako.

Wekeza kwenye muonekano wako unaokupa hadhi kila dakika inayopita bila hii Collagen ni hasara kwa ngozi yako. Lipia sasa hivi, nikutumie mzigo wako!

28/08/2026

Mabadiliko madogo ya ratiba kwa kesho tu! πŸ—“οΈβœ¨
Tafadhali zingatia ratiba hii ili uweze kupata huduma bila usumbufu:
πŸ“Œ Kesho (29 Agosti): Wazi kuanzia Saa 3:00 Asubuhi – Saa 7:00 Mchana.
πŸ“Œ Kuanzia Jumapili: Tutarudi kawaida (Saa 3:00 Asubuhi – Saa 3:00 Usiku).

Wahi mapema dukani kesho au fanya order yako mtandaoni leo usiku. Karibuni sana! πŸ›οΈ

Kumeza dawa za maumivu pekee ni sawa na kufuta machozi huku ukiendelea kukanyaga mwiba unatuliza hisia lakini hauondoi t...
27/08/2026

Kumeza dawa za maumivu pekee ni sawa na kufuta machozi huku ukiendelea kukanyaga mwiba unatuliza hisia lakini hauondoi tatizo la msingi.

Kiini hasa cha mateso yako ni kupungua kwa uwezo wa mwili kuzalisha kemikali asili zinazolainisha na kulinda gegedu (cartilage) zinazozuia mifupa kusuguana.

Kirkland Glucosamine, Chondroitin & MSM inaingia kazini kwa upendo, ikilisha viungo vyako moja kwa moja ili kujenga upya tishu zilizolika, kuzuia michubuko, na kurudisha ulaini utakaokufanya upige hatua kwa tabasamu na amani tena.

Tuma neno "VIUNGO" sasa hivi kwenye DM. Ukishahisi utamu wa kutembea kwa uhuru bila maumivu, hutakubali tena kufungwa jela na mwili wako...

27/08/2026

Eh bwana we, kasimama... yuko vizuri!” πŸ˜…βœ¨

Siri ya kusimama na kuwa vizuri mjini sio uchawi, ni kujua wapi pa kufanya shopping yako ya skincare na supplements. Wakati wengine wanategemea filter, wewe una-glow naturally na Collagen Peptides na Turmeric Sets kutoka Madam Supplements.

Ukitaka ngozi yako iwe inajieleza yenyewe mtaani, fanya kupitia duka letu leo.

πŸ’¬ Unasumbuliwa na changamoto gani ya ngozi ? Dondosha comment hapa chini tukushauri product sahihi! πŸ‘‡πŸΎ

Uchovu wa kila mara sio uvivu , mara nyingi ni ishara kwamba mwili wako umepungukiwa virutubisho muhimu. Kujali afya yak...
27/08/2026

Uchovu wa kila mara sio uvivu , mara nyingi ni ishara kwamba mwili wako umepungukiwa virutubisho muhimu.

Kujali afya yako sio anasa, ni lazima. Multivitamins bora zinaweza kusaidia kuziba mapengo ya lishe na kurudisha nishati yako ili uendelee na majukumu yako kwa nguvu.

πŸ‘‰ Swipe kuona jinsi mazungumzo rahisi yanavyoweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye afya yako.

Wewe unahisi uchovu mara nyingi? Tuambie kwenye comments! πŸ‘‡

Address

Sinza , Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madam suppliments posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share