Gecko Motors

Gecko Motors Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gecko Motors, Retail Company, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam.

TUNAUZA MABASI, MALORI NA MASHINE MBALI MBALI ZA UJENZI NA VIWANDANI
TUNASAFIRISHA MABASI, MALORI, MASHINE MBALI MBALI ZA UJENZI NA VIWANDANI NA BULK CARGOS KUTOKA CHINA
KARIBUNI

23/01/2026

Biashara ya logistics na ujenzi inahitaji magari na mashine imara ili kuepuka changamoto za matengenezo ya mara kwa mara, gharama kubwa za ununuzi lakini pia muda wa uwasilishwaji wa gari au mashine yako, mambo ambayo yanayoweza kuathiri shughuli zako…

Sasa, sisi TRAX TRADING COMPANY tumekuja na suluhisho kwa ajili yako….
1. Tunaagiza na kuuza magari na mashine mbalimbali zenye ubora kwa maana ya magari ya kibiashara k**a mabasi malori pamoja na magari binafsi pia na mashine nzito zenye ubora k**a excavators, rollers, dozers na zinginezo.
2. ⁠Tunafanya ukaguzi kabla ya kusafirisha ili kuthibitisha na kuhakikisha uimara na ubora wa gari au mashine yako.
3. ⁠Tunashughulikia clearance na delivery hadi mahali unapohitaji mteja wetu.

Gharama zetu ni nafuu na unaweza lipa kwa awamu…
Tunapatikana Magoneni Kanisani-Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia 0622726182

23/12/2025

2024 Hyundai 305LC-9S excavator crawler
Ina masaa 635 tu
Cummins diesel engine
Bucket ≈1.9m^3
266hp
Kina cha kuchimba: 7.5m
Bei: 152,000,000
Lipa cash au kwa awamu 2
Delivery: siku 30-45
Tembelea ofisi yetu iliyopo Magomeni Mikumi Dar es salaam
Call/whatsapp ⁨0622 726 182⁩ ゚viralシfypシ゚ 🥰❣️💫

Address

Magomeni Mikumi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gecko Motors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category