Ushauri wa mahusiano kwa wanawake na mabinti.

Ushauri wa mahusiano kwa wanawake na mabinti. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ushauri wa mahusiano kwa wanawake na mabinti., Dodoma.

27/08/2026

nani anapaswa kuwa chanzo Cha furaha yako? kumbuka maisha ni mafupi sana.

27/08/2026

nataka niwe rafiki yako, dada yaako,na au mama yako. k**a mwanamke mwenzako ninajua unapitia changamoto fulani na akili yako imefika mwisho. kukaa kimya siyo suluhisho njoo tuzungumze kabla hujafikia uamuzi wa mwisho ambao pengine unaweza kuwa hatari kwako njoo tuzungumze kwa upendo nataka upate amani moyoni na tabasamu la kweli usoni mwako.

22/12/2024

Hi, everybody hope mko poa I miss you all

Karibuni. Sana nawapenda wote
11/03/2024

Karibuni. Sana nawapenda wote

Uzee huoooooo
11/03/2024

Uzee huoooooo

Tunajifunza tu. Leo napenda kushare nanyi ladies k**a itakufaa chukua k**a sio lako liache hapahapa. " JE, umeshawahi kw...
11/03/2024

Tunajifunza tu.
Leo napenda kushare nanyi ladies k**a itakufaa chukua k**a sio lako liache hapahapa. " JE, umeshawahi kwenda kumtembelea mchumba au mume wako sehemu anayoishi mbali na wewe? Ulikuta mazingira Gani? Socialization yake na jamii inayomzunguka ikoje? JE ulipofika alikuwa tyr kukupa uhuru na pengine kuwa tyr kukutambulisha Kwa hata baadhi ya jirani zake? K**a ndiyo hongera. Ila k**a hapana Kuna haja ya kujiuliza kwann ulipofika tu akaanza kukubana na kukunyima uhuru wa kuzungumza na majirani? Uhuru wa kutembea tembea uone mazingira pekeako, nk Kuna shida na Kuna uwezekano mkubwa ni msaliti kwako so anafanya hivyo ili wasikwambie maovu yake, usijekudhani ni Kwa sababu anakupenda kiasi hicho big no Kuna kitu nyuma ya pazia. Oh utasikia usiwazoee sana Hawa majirani au yule mama dada Pana shida hapo k**a ulikuwa kwene maombi ya kutafuta mtu sahihi Hilo nalo usipuuze chukua hatua, tafuta muda binafsi fuatilia ni kweli wale wote alokwambia Wana matatizo usiwe nao karibu ni ya kweli?

09/06/2023

Maisha yamebadilika mambo yamekuwa mengi so karibu tushare changamoto zetu, ili tujifunze kwayo na kupunguza hatar ya kuwa ktk mstar wa matatizo na kujifunza mamma ya kuwa na furaha.

02/07/2022

Hello dears karibuni katika group hili tubadilishane mawazo na kusaidiana mambo mbalimbali ya maisha

I like conselling
25/03/2022

I like conselling

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ushauri wa mahusiano kwa wanawake na mabinti. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share