Inalo sports g

Inalo sports g sports centre

31/12/2025

Wishing you a happy and prosperous new year 2026

31/12/2025

Wishing you a happy and prosperous new year 2026.

Follow Inalo sports g

Mohammed Damaro Camara kutoka singida black stars amejiunga na klabu ya yanga  Camara anaingia katika kikosi cha yanga k...
31/12/2025

Mohammed Damaro Camara kutoka singida black stars amejiunga na klabu ya yanga


Camara anaingia katika kikosi cha yanga k**a raia wa Tanzania baada ya kupewa uraia

Follow Inalo sports g

29/12/2025

Celebrating my 6th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

Na huu ndio msimamo wa makundi hadi sasa baada ya kila timu kucheza mechi mbili  Gabon πŸ‡¬πŸ‡¦ Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό Equatorial guinea ...
29/12/2025

Na huu ndio msimamo wa makundi hadi sasa baada ya kila timu kucheza mechi mbili

Gabon πŸ‡¬πŸ‡¦
Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό
Equatorial guinea πŸ‡¬πŸ‡Ά
Heading to their homes until next time

FT 🏟️ ANGOLA 1️⃣-1️⃣ ZIMBABWE Zimbabwe kipindi Cha pili wamepiga kandanda ya juu sana ila wanashindwa kutumia nafasi.Ang...
26/12/2025

FT 🏟️ ANGOLA 1️⃣-1️⃣ ZIMBABWE

Zimbabwe kipindi Cha pili wamepiga kandanda ya juu sana ila wanashindwa kutumia nafasi.

Angola na Zimbabwe wanatoka ukanda mmoja ndiyo maana mechi Yao inakuwa ngumu na ushindani mkubwa.

Mechi hii ilikuwa na Kasi pia matumizi ya nguvu nyingi hasa kipindi Cha pili .

24/12/2025

Algeria wanapata goli la uongozi dakika ya 3 tu

Matokeo ya mechi za leo AFCON 24/12/2025burkina Faso πŸ‡§πŸ‡«  2- equatorial guineaπŸ‡¬πŸ‡Ά 1
24/12/2025

Matokeo ya mechi za leo AFCON 24/12/2025
burkina Faso πŸ‡§πŸ‡« 2- equatorial guineaπŸ‡¬πŸ‡Ά 1

Address

Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inalo sports g posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share