Jusco Health Care

Jusco Health Care Health Product, Distribution high Quality product consistently providing natural to benefit health and well being of people

Naitwa Dr. Juma Mwesigwa ni mtaalam niliyebobea kwa kutumia bidhaa za tiba lishe ambaye pia ni msambazaji wa bidhaa zinazotibu magonjwa mbalimbali yasiyo ambukiza. Kwa kutumia bidhaa za BF Suma zimekuwa na matokeo makubwa sana kwa wanaozitumia na kubadili Maisha yao. Kupitia bidhaa hii nimetibu watu wengi matatizo yao na kuleta furaha kwenye familia nyingi hapa nchini Tanzania.
-Pia ni Mkurugenzi

Mtendaji wa Huheso Fm Redio iliyopo Kahama Shinyanga Tanzania
-Pia ni Mkurugenzi wa Shirika la HUHESO Foundation lenye makao makuu mkoani Shinyanga
-Pia ni mwalimu ambaye pia nimesoma masomo ya Teolojia.

Utukufu wako bwana
23/05/2026

Utukufu wako bwana

Address

Kahama

Telephone

+255753444840

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jusco Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jusco Health Care:

Shortcuts

Share