Kahama Retail & Supplies

Kahama Retail & Supplies KAHAMA RETAIL SHOP. TUMEKUFIKIA MLANGONI KWAKO,
TOA ORDER TUKULETEE BIDHAA ULIPO BUREE!

09/07/2026
09/07/2026

Hii ni bora zaidi kwa wale wenye mtungi mdogo na ni nafuu zaidi kwani unaweza kuunga na jiko la plate ukatumia k**a kawa.

15/06/2026

Bidhaa iliyo ni surprise leo dukani ni mafuta
Nimeuza pc3
Lita 5 moja
Lita 3 mbili
Hii haijawahi kutokea kwangu.

11/03/2026

Hata wakati mvua inanyesha sisi tunakuletea mpaka kibarazani kwako

Offer hii ni kwa wale wananua mitungi na kujaza kwetu Kahama gas

Tunapatikana Cdt soko la jioni

Bei
Oryx kg6 55000/=
Taifa kg6 55000/=
O lake kg6 45000/=
O gas kg6 45000/=
Ikiwa pamoja F**a na burner.

15/02/2026

Tunapatikana Kahama cdt soko la jioni

Namba 0674530796

Tunalenga upatikanaji wa huduma  kwa urahisi na haraka zaidi nyumbani
09/02/2026

Tunalenga upatikanaji wa huduma kwa urahisi na haraka zaidi nyumbani

Address

Shinyanga
Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kahama Retail & Supplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share