Kid Miri

Kid Miri Kids clothes online store

10/05/2026

Hongera Simba sc ❤️❤️
kuchaguliwa kuwa Club Bora ya Mwaka. Bila shaka ni heshima kubwa kwa timu na mashabiki wake. Lakini k**a wadau wa soka, bado tunayo haki ya kujiuliza: ni vigezo gani hasa vilitumika kutoa tuzo hii?

Kwa upande wa mafanikio ya ndani ya msimu, Simba hawajabeba taji kubwa la ligi wala kuonyesha dominance ya ki-records dhidi ya wapinzani wao . Ukitazama consistency ya matokeo, ubora wa performance, pamoja na takwimu za ushindi ndani ya mashindano makubwa, bado Yanga wameonekana kuwa na edge kubwa zaidi.

Je, tuzo imeangalia historia ya club? Umaarufu? Participation ya kimataifa? Au ilikuwa ni overall influence ya timu kwenye football ecosystem?

Soka linapokuwa professional, transparency ya vigezo vya tuzo ni muhimu sana. Mashabiki wanahitaji kuelewa kwanini timu fulani imepewa heshima hiyo ili tuzo zibaki kuwa na credibility, si kuonekana k**a maamuzi ya hisia au popularity contest.

Mpira wetu unakua, na mjadala wa aina hii ndiyo unaongeza standards za football analysis Tanzania.

Address

Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kid Miri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share