06/09/2026
βοΈ.BRAND: WINNING STAR.
πΉ.PRODUCT:MULTIFUNCTIONAL VACUUM CLEANER (WET & DRY)
πΉ.MODEL: ST- 5037
πΉ.POWER:1400WATTS
πΉ.VOLTAGE: 220V - 240V
πΉ.FREQUENCY: 50/60Hz
πΉ.CONTROL: DIGITAL TOUCHSCREEN
πΉ.MAIN TANK CAPACITY: 35L
πΉ.CLEAN WATER TANK CAPACITY:4.3L
π§Ή KAZI ZAKE KUU.
ββββββββββββ
π.1. Dry vacuum β kusafisha uchafu mkavu
Inavuta vumbi, nywele, takataka ndogo na uchafu wa kawaida.
π.2. Wet vacuum β kuvuta maji π§
Inaweza kuvuta maji/kimiminika kilichomwagika, tofauti na vacuum ya dry-only.
π.3. Spray + Extraction
Inanyunyiza maji/solution kwenye sehemu chafu, kisha inavuta maji hayo pamoja na uchafu. Hii ndiyo nzuri kwa sofa na carpet.
π.4. Steam cleaning β¨οΈ
Ina support ya steam kwa deep cleaning na kusaidia kuondoa uchafu mgumu na harufu.
π.5. HEPA filtration
Filter husaidia kunasa vumbi laini na chembe ndogo, hivyo hewa inayotoka huwa safi zaidi.
βοΈInaweza kutumika wapi?
π.Kusafisha Sofa, Carpet, Mazulia, Magodoro ,Sakafu , Viti vya gari, Interior ya gari, Nyumbani, Hotel, Office na Business ya usafi/cleaning services.
π°. BEI: 450,000/=
βοΈ: 0787737179
π.TUPO KARIAKOO MTAA WA MASASI / NDANDA.