31/07/2026
﴿وَاسْتَعِينُوا بِالصَّبْرِ وَالصَّلَاةِ ۚ وَإِنَّهَا لَكَبِيرَةٌ إِلَّا عَلَى الْخَاشِعِينَ﴾
Yaani hutba ilihusu aya hii hapo juu tu...
Aisee nimejifunza kuwa Quran imebeba ujumbe mzito sana.
Naa Imamu Maa shaa Allah kajua kuitendea haki...
Nimejaribu kudonoa japo kidunchu nilichojaaliwa kukiweka kichwani
Hebu sikiliza mpaka mwisho ili tufaidike sote
Wewe umeswali wapi leo, na Khutba ilizungumzia jambo gani...
Share nasi kwenye comments