Kuchi in Dar es salaam

Kuchi in Dar es salaam sell, buy or get help here Use this platform to sell or buy any type of bird or get help in poultry tips just by you handtip.

29/10/2018

MINYOO KWA KUKU
MINYOO K**A CHANGO(ROUNDWORMS)NA TEGU (TAPE WORMS) HUATHIRI KUKU WA KIENYEJI,KUKU HUKOSA HAMU YA KULA,MAYAI HUPUNGUA NA MAGONJWA MENGINE HUSHAMBULIA.

TIBA.
MCHANGANYIKO WA MADAWA YA AINA 3 NDIO HUTUMIWA KUANGAMIZA MINYOO,
*PIPERAZINI
*PHENOTHIAZINE
*BUTYNORATE
DAWA HIZI ZINAPATIKANA KATIKA MADUKA YA MIFUGO
KUMBUKA

29/10/2018

(MARECK'S DISEASE )
Huu ni ugonjwa unaowapata kuku, ambao unasababishwa na kirusi aina ya "HERPES VIRUS".
Njia za Kuenea au Kusambaa kwa Ugonjwa
Kuchanganya mayai yenye ugonjwa na yasiyo na ugonjwa
Katika mashine za utotoleshaji vifaranga
Mayai ya kuku mwenye ugonjwa huu

DALILI ZA UGONJWA WA MAHEPE (MARECK'S DISEASE)
Kuvimba nerves
Miguu na mabawa kuishiwa nguvu (kupooza)
Kupungua uzito
Sehem ya kuifadhia chakula (crop) kutanuka
Macho huharibika na kuwa kipofu (jicho moja au yote)
Ngozi huumuka (kuwa nene)
Viungo vya ndani huwa na uvimbeuvimbe mweupe
Hukosa hamu ya kula
Kupooza viungo na vifo hutokea hasa wiki ya 10 hadi 20
Kuharisha

NAMNA YA KUDHIBITI NA KUKINGA
Kuku wapewe chanjo wakiwa na umri wa siku moja

TIBA:
Hakuna matibabu yaliyogundulika kisayansi, ila k**a ugonjwa huu umeingia katika mifugo yako
wasiliana na daktari au mtaalam wa mifugo aliye karibu yako.

  (sio chotara, 100% kuku asili:healthy and strong: More weight:
29/10/2018

(sio chotara, 100% kuku asili
:
healthy and strong
:
More weight
:

 ...πŸ€‘
29/10/2018

...πŸ€‘

  πŸ˜πŸ€”
29/10/2018

πŸ˜πŸ€”

 ...
29/10/2018

...

 ... It is kuchi.
29/10/2018

... It is kuchi.

Address

Kijitonyama
Kijitonyama

Telephone

+255787242636

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuchi in Dar es salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share