Maffa matelephones accessories

Maffa matelephones accessories Karibuni sana wateja wetu

11/05/2026
Super og
11/05/2026

Super og

Tsh 25000
11/05/2026

Tsh 25000

22/02/2025

Bunge la Seneti limemuidhinisha Kash Patel ambaye wazazi wake wana asili ya Afrika Mashariki katika nchi za Uganda na Tanzania k**a Mkurugenzi wa FBI.

Patel, ni Mfuasi mwaminifu wa Rais Donald Trump na mtu mashuhuri wa mrengo wa kihafidhina katika uongozi wa Idara hiyo nyeti kabisa.

Seneti ilipiga kura 51 kwa 49 kumthibitisha Patel, huku Maseneta wa Republican Susan Collins na Lisa Murkowski wakiungana na Wanademokrasia kupinga uteuzi wake.

Uteuzi huu ulikabiliwa na uchunguzi mkali kutoka kwa Wanademokrasia katika Capitol Hill, ambao wameonya kwamba Patel anaweza kutumia nafasi hiyo kulipiza kisasi dhidi ya maadui wa kisiasa wa Trump.

Wakati wa kikao cha kuthibitishwa mbele ya Seneti, Patel alisema hakutakuwa na “upendeleo wa kisiasa” ndani ya FBI na “hakutakuwa na hatua za kulipiza kisasi,” huku akiwashtumu Wanademokrasia kwa kuchagua vipande vya kauli zake za zamani kwa nia mbaya. “Vipande vya taarifa mara nyingi vinaweza kupotosha,” Patel alisema wakati mmoja.

Nafasi ya Mkurugenzi wa FBI inapaswa kuwa ya muhula wa miaka 10 ili kuzuia ushawishi wa kisiasa. Hata hivyo, baada ya Trump kurejea Ikulu ya White House, alieleza wazi kuwa alitaka Mkuu wa FBI wa wakati huo, Chris Wray, aondoke, jambo lililosababisha Wray kujiuzulu na kufungua njia kwa Patel kuthibitishwa.

Warepublican wamemtetea Patel k**a chaguo la kuongoza FBI, wakidai kuwa ataleta uwazi unaohitajika katika shirika hilo na wakipuuza kauli zake tata za zamani k**a maneno yaliyotiwa chumvi.

Wazazi wa Patel walilazimika kuondoka nchini Uganda na kukimbilia Tanzania wakati wa Utawala wa Idd Amin.

20/11/2024

Klabu ya Singida Black Stars imepanga kumsajili winga wa klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sc Ladaki Juma Chasambi katika dirisha dogo litakapo funguliwa hapo January 2025.

Ladaki Juma Chasambi amekua na muendelezo bora sana tangu aaminiwe na makocha wanaoendelea kuinoa klabu ya Simba Sc na kuonyesha kiwango bora sana na kupelea matajiri wa Singida Black Stars kuhitaji saini yake.

Ladaki Chasambi amezaliwa tarehe 15 mwezi March 2004 bado ni mchezaji mwenye umri mdogo amba3 ataenda kuinufaisha klabu ya Singida Black Stars kwa muda mrefu sana.

Ladaki Juma Chasambi anauwezo wakucheza k**a Winga ya kushoto pia winga ya kulia na inaelezwa Ladaki Chasambi anaendelea kufikiria dili hilo kutokana na kukosa namba mbele ya wachezaji k**a Kibu Denis,Awesu Awesu na Elie Mpanzu aliejiunga klabuni hapo akitokea AS Vita ya nchini Dr Congo.

Chasambi anaamua kufanya hivyo ili kupata nafasi ya kucheza kutunza kipaji chake baada ya kukosa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Simba Sc.

20/11/2024

Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids yupo ndani ya Uwanja wa Mkapa kuangalia vijana wake wakiwa kwenye majukumu ya timu za taifa.

20/11/2024

Address

Mbulu

Telephone

+255788104104

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maffa matelephones accessories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maffa matelephones accessories:

Share