Woodprint Home Collection

Woodprint Home Collection Tunauza Mashuka|Pazia|Duvets|Blankets|Home&Office Decor|Rugs n.k
Tunachezesha Michezo ya Vitu/Bidhaa

Shuka 2 Foronya 4 πŸ‘‰ 30,000 tu100% cotton, Queen/King Size.Kubwa sana. Hazichuji, hazichaniki, hazitoi vipele. Fanya hara...
28/03/2026

Shuka 2 Foronya 4 πŸ‘‰ 30,000 tu
100% cotton, Queen/King Size.
Kubwa sana.

Hazichuji, hazichaniki, hazitoi vipele. Fanya haraka maua hayakai. Popote ulipo inakufikia | Mikoani Tunatuma.

Call/Whatsapp: 0769 375 253

03/01/2026

MZIGO MPYA WA PAZIA, MALI SAFI πŸ”₯
Pazia pair moja πŸ‘‰ 40000 (zinakua mbili)
Pazia pair moja na lesi yake πŸ‘‰ 50,000
Lesi peke yake πŸ‘‰ 15000

Hizi pazia nzuri hadi nzuri tena jamani πŸ˜πŸ™Œ nzito na kubwa πŸ‘‰ upana ni mita 1.5 na urefu ni mita 3. Maua yake hayana kelele kabisa, yametulia na yanapendezesha nyumba..

Tunapatikana Kimara Stop Over
Call/Whatsapp: 0769 375 253

MZIGO MPYA WA PAZIA, MALI SAFI πŸ”₯Pazia pair moja πŸ‘‰ 40000 (zinakua mbili)Pazia pair moja na lesi yake πŸ‘‰ 50,000 Lesi peke y...
03/01/2026

MZIGO MPYA WA PAZIA, MALI SAFI πŸ”₯
Pazia pair moja πŸ‘‰ 40000 (zinakua mbili)
Pazia pair moja na lesi yake πŸ‘‰ 50,000
Lesi peke yake πŸ‘‰ 15000

Hizi pazia nzuri hadi nzuri tena jamani πŸ˜πŸ™Œ nzito na kubwa πŸ‘‰ upana ni mita 1.5 na urefu ni mita 3. Maua yake hayana kelele kabisa, yametulia na yanapendezesha nyumba..

Tunapatikana Kimara Stop Over
Call/Whatsapp: 0769 375 253

Taulo za watoto nzuri sana 15000Ziko soft na kubwa, hata mtoto mdogo kabisa anatumia. Uzuri hazibakishi manyoya kwenye m...
02/01/2026

Taulo za watoto nzuri sana 15000
Ziko soft na kubwa, hata mtoto mdogo kabisa anatumia. Uzuri hazibakishi manyoya kwenye mwili.

Call/Whatsapp πŸ‘‰ 0769 375 253
Mikoani tunatuma pia, tunapatikana Kimara Stop Over

Shuka Pambe, Shuka zinaita πŸ”₯πŸ”₯ ukilalia usingizi safi kabisaaaa, bei ni 35000 tu shuka 2 foronya 4 kingsize. Maua hayakai...
04/12/2025

Shuka Pambe, Shuka zinaita πŸ”₯πŸ”₯ ukilalia usingizi safi kabisaaaa, bei ni 35000 tu shuka 2 foronya 4 kingsize. Maua hayakai, na ni ngumu kukuta yakijirudia. Hazichuji, hazitoi vipele, hazichaniki, hazipauki ni kubwa mno zinavutia.

☎️ Call/Whatsapp πŸ‘‰ +255 769 375 253
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa kabisa.

Mchezo wa mashuka bado upo wazi, 5000 kila jumamosi, watu 7. Wasiliana nasi ujiunge πŸ‘‰ 0769 375 253

Duvets Duvets, nzuri sana, kubwa na nzito πŸ”₯ 😍 Bei πŸ‘‰ 45,000 size ya 7*8Duvet 1 Shuka 1 kubwa Foronya 2☎️ Call/Whatsapp: +...
22/11/2025

Duvets Duvets, nzuri sana, kubwa na nzito πŸ”₯ 😍 Bei πŸ‘‰ 45,000 size ya 7*8
Duvet 1 Shuka 1 kubwa Foronya 2

☎️ Call/Whatsapp: +255 769 375 253
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.

Mchezo wa duvet upo, ni 5000 tu kila jumamosi Cc:


Address

Mazimbu
Morogoro
67115

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Woodprint Home Collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share