24/09/2023
https://internetpesa.com/viewbidhaa.php?bidha=wWsg092715®=2840c20e58c864e7ce0626947a37a059
ππ£π€π£ππ πππππ«πͺπ£πππ π πππͺπͺ
Hali ya jeraha la mlinzi wa Simba SC, Henock Inonga aliyepata jeraha katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya CoastalUnionfc sio kubwa na kwamba hatakaa nje kwa muda mrefu.
Hali yake ni nzuri na jeraha lake sio kubwa, ni dogo na vitu vyote vimeshafanyika na yuko vizuri, sasa yupo kwenye mapumziko mafupi na ataruhusiwa kutoka hapa hospitali.β