Mtwara Gifts

Mtwara Gifts We sell and Deliver all kinds of gifts

For beautiful Necklaces karibuni sana! Non-Turnish and very elegant..! Karibuni sana! WE ARE OPEN🌿0764-996623
10/09/2026

For beautiful Necklaces karibuni sana! Non-Turnish and very elegant..!

Karibuni sana!

WE ARE OPEN🌿
0764-996623

Watu wanapendana huku Nyie🥰 haya nyie kaeni na Penzi lenu limepooza😳0764-996623Karibuni sana Tunaandaa Maua Artificial n...
09/09/2026

Watu wanapendana huku Nyie🥰 haya nyie kaeni na Penzi lenu limepooza😳

0764-996623
Karibuni sana Tunaandaa Maua Artificial na Natural.

Men Deserve love too..! Wanaume mnaitwa Dukani. Saa zinaanzia 45,000/= Full boxed mpaka 75,000/=0764-996623
08/09/2026

Men Deserve love too..!
Wanaume mnaitwa Dukani.

Saa zinaanzia 45,000/= Full boxed mpaka 75,000/=

0764-996623

Welcome back Wifey😍😍Our Artificial Bouquet 💐 0764-9966623
04/09/2026

Welcome back Wifey😍😍

Our Artificial Bouquet 💐
0764-9966623

Clean sorry😅Mwezi huu wadada wameomba sana samahani, imekuaje kwani au ndo mwisho wa mwezi!?Karibuni Tusaidie kuwaomba h...
02/09/2026

Clean sorry😅
Mwezi huu wadada wameomba sana samahani, imekuaje kwani au ndo mwisho wa mwezi!?

Karibuni Tusaidie kuwaomba hao wababa sorry!

Tupo nangwanda opp sitty market
0764-996623

Hii imetoka kwa Mwanamke kwenda kwa Mubaba wake, wanawake hata sisi tunakosea na wababa wanapaswa kuombwa samahani hivi🥰...
01/09/2026

Hii imetoka kwa Mwanamke kwenda kwa Mubaba wake, wanawake hata sisi tunakosea na wababa wanapaswa kuombwa samahani hivi🥰

Haya wale wa k**a utaki basi njooni hapa niwachape🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

Karibuni sana..
0764-996623

Address

Mikindani, Mtwara Mjini
Mtwara
63313

Telephone

+255764996623

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtwara Gifts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mtwara Gifts:

Shortcuts

Share

Category