20/08/2025
🔹 Bonyeza https://bidhaa.net/new-request
🔹 Elezea unachotaka kununua
🔹 Wauzaji wa Dar es salaam watakutumia bei
🔹 Utalipia ili wakusafirishie kuja mkoani kwako
🔹 Ukilipia kwa Bidhaa App, pesa yako haitumwi kwa muuzaji.
🔹 Pesa inatunzwa kwenye akaunti salama mpaka upokee mzigo.
🔹 Ukipokea mzigo, pesa itatumwa kwa muuzaji.
🔹 Mzigo usipofika, pesa uliyolipa itarudishwa.
🔹 Kujisajiri, na kuelezea unachotaka kununua ni bure.
🔹 App yetu ina maelezo ya sauti kukusaidia kuitumia.