Buku Tatu

Buku Tatu BUKU 3 | Kilakitu 3000 /=
Unataka kuokoa pesa yako? Njoo uchague chochote kwa 3000 tu!
๐Ÿ“Michenzani Mall | Zanzibar ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Kila siku 3 Asubuhi - 2 Usiku

09/09/2026

Furaha ikizidi, Upendo haupungui! Ahsante kwa Kututembelea, Ahsante kwa Kutuamini!

04/09/2026

Hatimae Mshindi wa Pili wa Zawadi za Kila Mwezi Kutoka Buku 3 Store amepatikana, nae si Mwingine ni Dada ASHURA!

Amejishindia TV aina ya Hisense 50Inches! Hii ndio Faida ya Kufanya Manunuzi na Buku 3 Stores, unanunua na unajiweka katika nafasi ya Kushinda zawadi mbalimbali kila mwezi!

Mwezi huu Zawadi itakayoshindaniwa ni TECNO PHANTOM. Cha Kufanya Ingia Play Store au App Store download โ€œBuku tatu Loyalty Appโ€ kisha fuata maelekezo! Au Fika duka lolote la Buku 3 Mpendae Mall au Mpendae Mall uliza mfanyakazi yeyote akupe maelekezo, huenda ukawa mshindi mwingine mwezi huu wa Septamba!

03/09/2026

Ni kuanzia Saa 7:30 Mchana huu Tutakuwa Live Kuchezesha Droo ya Mshindi wetu wa pili wa Smart TV 50Inches aina ya Hisense! K**a unajijua uliwahi Kujisajili na App ya Buku 3 na Ukafanya Manunuzi, ukajaza Receipt zako, basi huu ndio wakati wako!

01/09/2026

No i like the Uniform! ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ

29/08/2026

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kimemlamba leo! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

26/08/2026

Yametukuta leo! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ

25/08/2026
24/08/2026

Ni wiki Mpya yenye Mambo Mapyaaaaa! ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Ukichelewa Buku 3 Store yoyote ile Kati ya Mpendae Mall na Michenzani Mall utajilaumu!

18/08/2026

Weeeee! Nani anatuweza?

Address

Karume Road
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Buku Tatu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category