01/11/2020
nimabe
🎥 Director | Writer | Comedian
Sina muda wa fake. Nafanya kazi ya kweli – kutoka kwa moyo, kwa jamii, na kwa kizazi kinachotaka kubadilika.
Kutoka vijijini hadi mijini, hadithi zangu zinaishi kwenye screen na moyoni.