22/06/2026
‼️PERFUME UJIPATIE FULL PERFUME SET
Unapata / 45milleFBU
* Body Splash/Perfume 50 mls– hupuliziwa mwilini au kwenye nguo ili kutoa harufu nzuri.
* After Shave /Lotion– hutumika baada ya kunyoa ili kuburudisha ngozi na kuacha harufu nzuri (kwa wanaume) na Lotion ya kulainisha ngozi kwa mwanamke
* Mini perfume – chupa ndogo ya kubeba mfukoni au begani kwa matumizi ukiwa safarini.
ZINANUKIA VIZURI SANA NA HUDUMU MDA MREFU MWILINI