Les fanes des kams debilbanho gdk

Les fanes des kams debilbanho gdk Music publique

03/11/2021

SALUT

28/08/2021

La mour est comme le jeu de football donc comme on dit le match n'est peut pas commencer par 1ou 2but•••le génie on déjà compris😍😎😎😍😇

Send a message to learn more

Bonjour je souhaiterais avoir des renseignements confidentiels à l'intention exclusive des photos de mon côté j'ai fait ...
28/08/2021

Bonjour je souhaiterais avoir des renseignements confidentiels à l'intention exclusive des photos de mon côté j'ai fait une demande pour le poste

27/08/2021
01/08/2021
27/05/2021

Kijana wa kiume alimwambia baba yake "nimemuona msichana mzuri sana na ninataka nimuoe hivi karibuni. Ni mzuri sana na ana macho mazuri mno" baba akamwambia sawa mwanangu mlete nyumbani umtambulishe.

Kijana alimleta yule msichana nyumbani, baba alikubali uzuri wa yule binti na kumwambia mwanae "mwanangu hustahili kuwa na msichana huyu. Binti k**a huyu anastahili kuwa na mtu mwenye uzoefu wa maisha na anayeweza kumtegemea. Mtu k**a mimi"

Kijana alishangaa msimamo wa baba yake na akamwambia "nitamuoa mimi na sio wewe baba" na ghafla wakaanza kugombana, na baadae wakaamua kwenda police kusuruhisha.

Walipomuelezea afisa wa polisi tatizo lao, yule afisa akawaambia wamlete huyo msichana kwake wamuulize yeye anamhitaji nani. Afisa alipomuona yule msichana akawageukia baba na mtoto na kuwaambia "wote ninyi hamfai kuwa na msichana huyu, anahitaji mtu aliye juu k**a mimi, mtu ambaye ana nguvu za kuweza kumlinda."

Wote watatu wakaanza kuzichapa, na baadae mkuu wa kituo akatokea. Mkuu wa kituo akawauliza wanagombania nini na wote kwa pamoja wakamuonesha mkuu wa kituo yule binti. Mkuu alipomuona binti akawaambie "nyie wote ni wapumbavu, msichana mzuri k**a huyu afaa kuwa mke wa mkuu wa kituo! Ondokeni hapa na mniachie huyu binti niongee nae"

Wote wanne wakaanza kugombana tena, mwishoni yule binti akawatuliza na kuwaambia "me nina ufumbuzi wa huu mgogoro wenu nitaanza kukimbia, yeyote atakayefanikiwa kunik**ata atakuwa mme wangu" alipoaanza kukimbia wote wanne wakaanza kumfukuzia ili kumk**ata ma ghafla wote wanne wakatumbukia katika shimo kubwa.

Binti akawatazama tokea juu ya lile shimo na kuwaambia "mnajua mimi ni nani? Mimi ni ulimwengu huu. Watu wanakimbia kweli kunik**ata au kwenda sambamba na mimi, kwa kufanya hivyo wamemsahau hata Mungu mpaka pale wanapoingia kaburini wamekufa bila ya kuweka uhusiano mzuri na Mungu! Yote ni kwa ajili ya uzuri tu wa mimi! Nawaambieni tu Mungu yupo! Msitazame uzuri wa ulimwengu huu mkamsahau Mungu.

Muhimu.

Usimsahau mwenyezi Mungu, anakupigania unapumua mpaka leo hii, usizubaishwe na anasa za ulimwengu huu! Mfalme Sulemani alisema vyote ni ubatili mtupu.

Kwanini usiseme AMEN!??

Share it, like it.

Tweve Hezron

11/03/2021

100000fc

Address

Angola
London

Telephone

+243817038390

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Les fanes des kams debilbanho gdk posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share