25/12/2025
PART 2: Usiku Haukuomba Ruhusa
Mlango ulipofungwa, dunia ya nje ilikufa. Kulibaki pumzi, macho, na ile hali nzito hewaniâk**a dhambi inajua iko karibu kufanyika.
Alikaa kimya kwa sekunde chache, akimwangalia k**a mtu anayepima madhara kabla ya kuamua kuyafanya.
âUnajua shida yako ni nini?â akauliza polepole.
âHuwezi kujifanya hunitaki⊠mwili wako hunisaliti kila mara.â
Alisogea karibu, sio kwa harakaâkwa makusudi. Akitaka kila hatua iwe adhabu tamu. Mkono wake ukapanda taratibu, akasimama hapo kidogo, kana kwamba anacheza na subira yake.
âUsiku k**a hii,â akaendelea, ânifanye vibaya basi.â
Alimeza mate. Moyo ukapiga vibaya. Hii haikuwa tena flirtingâhii ilikuwa vita ya nani atavunjika kwanza.
Midomo ikakaribiana tena, safari hii sio ya kujaribu. Ilikuwa nzito, chafu kwa nia, tamu kwa hisia. Ile busu inayokufanya usahau jina lako kwa sekunde kadhaa.
âUnafanya nione wazimu,â akasema kwa sauti iliyovunjika kidogo.
âVizuri,â akajibu, ândiyo nilitaka.â
Mwanga wa taa uliwafunika nusu. Vivuli vikaanza kucheza ukutani. Hakukuwa na harakaâharaka ni ya watu wasio na uhakika. Hapa kulikuwa na uhakika mwingi, na tamaa ya kutosha kujaa chumba kizima.
Usiku ukaendelea bila ratiba, bila rehema.
Na asubuhi?
Asubuhi ingeuliza maswali ambayo hawakuwa tayari kujibu.