04/06/2026
🤣 ONLY TRUE LEGENDS WILL UNDERSTAND THIS!
Mzee alikuwa ameambiwa aende kuchunga mbuzi na arudi saa kumi.
Lakini k**a kawaida ya goalkeepers wa mtaa, akaamua ku-diving kila matope, kila vumbi, kila kichaka. 🤦🏾♂️⚽
Alipofika home, sura ilikuwa imechange colour hadi wazazi wakaanza kujiuliza k**a huyu ni mtoto wao ama ni mchanga umetembea wenyewe. 😭
Kila mtu alikuwa anangoja fimbo ishuke...
Lakini ghafla njaa ikaingia overtime! 🍽️
Badala ya disciplinary hearing, akaletewa ugali ya kutosha na mandondo za heshima. 😂
Mzee akakaa kimya kabisa akifikiria:
"Kumbe nilikuwa naogopa bure... njaa ndio lawyer wangu!" 🤣🤣
Wale tulikulia ushago na estate tunajua baada ya kucheza hadi ukabadilisha rangi, ukiona ugali imefika mezani, unajifanya innocent haraka sana. 😂💀
😆🔥