06/04/2021
SOMA HAPA !!
Msichana alimtembelea boyfriend wake.
Baada ya kuingia chumbani,msichana alimkumbatia na kumsalimia.
Baada ya dakika 30 yule msichana alianza kuvua nguo zake zote na kubaki kwenye chupi na sindiria tu.Baada ya hapo mazungumzo yafuatayo yakafuata.
Msichana: Njoo basi tufanye mapenzi baby.
Mkaka:Hapana baby,sitaweza kufanya mapenzi na wewe.
Msichana: Au mimi sio mzuri jamani,ona nimevua nguo zangu tafadhali njoo tufanye mapenzi nakuomba jamani.
Mkaka: Ndio wewe ni mzuri lakini vaa nguo zako tu.
Msichana: (Akivua chupi na Sindiria)
Ona niko uchi wa mnyama kabisa
baby njoo basi tufanye mapenzi au hauko kwenye mudi ya kufanya mapenzi jamani?
Mkaka:Vaa nguo zako tu,nina mudi lakini sitafanya mapenzi na wewe.
Msichana: Kwa nini jamani, au hunipendi?
Mkaka: Ndio nakupenda sana lakini nasubiri mpaka usiku wa ndoa ndio tufanye mapenzi.
Tusubiri basi mpaka siku ile ya usiku wetu wa ndoa nakupenda na ninaheshimu mwili wako.
WAKAKA K**A HUYU BADO WAPO??
NDIO Or HAPANA????
Tafadhali LIKE MY PAGE NA SHARE PICHA HII ujishindie Simu aina ya SAMSUNG J 7"