25/06/2026
Ninyi watu wa kuuza mbwa kwa soko ya lubawo acheni kutuchezea akili, mnajua ati wanunuzi wanapenda Ile umbwa Kali sasa ninyi siku ya ya soko asibwi mnachapa umbwa viboko ati sasa ikifika soko ikiona mtu inafikiria anakuja kusichapa inatoa meno, sasa mnunusi akioona inatoa meno anafikiri ati hio ndio Kali kumbe imeogopa watu kwa kichapo walisopokea asibui,ukifika kwa boma umbwa nikulala tu,acheni kutupima bangi