13/05/2026
Sasa wafanyabiashara wenzangu, sababu hii haifunzwi kwa seminars za motivational speakers wa TikTok, ni muhimu niwaambie ukweli.
Katika hii dunia ya biashara ya leo, ukiskia mtu anasema “website si muhimu,” jua huyo bado anauza vitu kwa status za WhatsApp za “Good morning family” na poster ya maua.
Buana siku hizi customer akiskia biashara yako iko serious, jambo ya kwanza hafanyi ni kukuuliza bei. Anaenda Google! Akipata hakuna website, anaanza kushuku k**a wewe ni biashara ama ni chama ya merry-go-round.
Na sasa ukijaribu kusema “tunapatikana Facebook pekee,” umeisha! Customer anataka kuona website yenye iko clean hadi anahisi CEO wake anakunywa kahawa na Elon Musk every morning.
Na muhimu zaidi, lugha yako pia matters. Kila wakati ukiongea kuhusu biashara yako, hakikisha umerusha maneno za digital marketing apo ndani. Words k**a: “Brand visibility” “Online presence” “Customer conversion” “Digital strategy” “Organic traffic” “SEO” “Global expansion”
Hata k**a hujui zinamaanisha nini yote, zitumie kwa confidence!
For example sema: “Actually tunafanya customer conversion through a strategic online presence ndio brand visibility iongezeke globally.”
Watu wataogopa kuuliza meaning.
Na ukienda meeting ya biashara usiseme: “Nataka website ya kuuza viatu.”
Hapana buana! Sema: “We are building an e-commerce ecosystem to optimize customer engagement and scale sales internationally.”
Ata k**a bado unauza viatu mbili pale Instagram. Confidence muhimu!
Na ukweli ni huu…
Website sio luxury tena.
Ni k**a mlango wa biashara yako duniani.
Inafanya:
✔️ Watu wakuamini
✔️ Mauzo iongezeke
✔️ Customers wapate wewe 24/7
✔️ Business ionekane professional
✔️ Upate clients hata ukiwa umelala
✔️ Biashara iexpand beyond mtaa yenu
Buana sisi k**a wafanyabiashara tunataka customers wa online pia watuheshimu!
Auuuiii!
Shop & sell with us
Five stars for you