15/07/2020
PVA 20-99 (H) SKIMMER MATERIAL ama Gundi moto ni material inayotumika kwenye ujenzi mbadala wa White Cement ili kuzuia nyumba kushambuliwa na magadi au fangasi.
Material hii ni bora kwa kuwa huongeza uimara wa nyumba na pia hupunguza gharama za Ujenzi.
Inapatikana kwa bei ya Jumla na Rejareja katika ujazo wa 12.5 Kg na 25Kg
Duka lipo Ngusero Mwisho wa Hiece karibu na Kanisa la Katoliki mkoani Arusha
Wasiliana nasi kwa Simu namba 0742516990